Wizi wa magari Dodoma

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muda huo washakupulizia dawa za usingizi au wamekufungia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaozungumzia relay sijui kma mnaijua inavyofanya kazi au la, relay ni switch ambayo inategemea, zipo zibazokua On zikipokea umeme na zipo zinazokua Off zikipokea umeme, ni rahisi sana mtu ku-improvise akiwa anafahau. Kuhusu fuse ndo msijisumbue kabisa. Mana ni kujua tu fuse ya power ni ipi kisha unachomeka waya mdogo unaounganisha kitu kimejipa. Hii tumeifanya sana garage, umeachiwa gari utengeneze jamaa kaondoka na key, unafanya mafekeche inawaka.
 
Uko sahihi, magari ya sasa hayana point hayana madistibyuta wala makabuleta mbadala wake imekuwa koili za kila silinda kompyuta ndio inazipatia mwako tofauti na distribyuta ambayo ilikuwa inapeleka myoto kwenye maplagi...hivi ule uzi wa magari Prondo upo maswali ya hivi yajibiwage kule
Gari za zamani ndio zilikuwa na distributor. Gari za kisasa hazina distributor. Electronic fuel injection imeondoa distributor.

Mfano GX100 kavu ina distributor ila GX100 VVTi haina distributor. Maybe I'm wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana raia wakikamata mwizi wanammaliza.yani watu wanaumiza vichwa kuwadhibiti kwa kila mbinu lkn bado wataiba tu hata utumie mbinu za kisasa ama za kizamani,Ila ipo siku za mwizi ni fote(40)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapolala toa battery ya gari weka ndani.
Ukilala toa upepo tairi zote.

Hakikisha unakicompressor kidogo cha kujazia upepo kinachotumia 12VDC.
Namimi nasema ukialala fungua tairi zote za gari kalale nazo chumbani...
 
zinayo mkuu bila hiyo gari haiwezi kuwaka kamwe
Gari za sasa nyingi hazina distributer.

Ni either distributerless Ignition system au coil on plug ignition system.

Hizo system gari inakuwa na camshaft position sensor na crankshaft position sensor.

Hizo sensor zinapeleka taarifa kwenye ECU/PCM na hivyo PCM ndio inaamua cylinder gani ifanye ignition kutokana na taarifa ilizopokea....
 
Ukitaka usiibiwe Gari lako chomoa fuel injection relay(Au imeandika EFI).

hapo mwizi labda aje kutow hilo gari. Maana halitowaka.
 
Fuga mbwa,german sherphard,miriki bastola,funga cctv/motion camera,
Mpaka wanawasha gari,lazima utasikia,fungua dirisha twanga mtu risasi ya kiuno,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…