Wizi wa Fastjet, TCAA mpo kweli?

Wizi wa Fastjet, TCAA mpo kweli?

Wewe ni mwongo.Haiwezekani mtu akiwa kwenye foleni akaambiwa muda umeisha.
What if check in Clerk alikuwa too slow katika kazi yake?
Hilo unalolisema halipo.As long as upo kwenye mstari, au umeikuta foleni ni lazima ucheck in.
Usitake kutufanya wote humu wajinga.
Ni kweli kwa wale wanaojua queuing theories, check-in procedures na mambo kama hayo yanayohusiana na sheria za kuishi ni kitu ambacho hakiwezekani lakini kwa uendawazimu ambao Watanzania tumefikia yanawezekana na huenda ikwa ni Tanzania pekee. Kwa jinsi mleta mada alivyoandika inaelekea ni mtu mwelewa na ndio maana naye kashangaa kitu kama hiki kinatokea hadi kufuatailia zaidi na kujua hilo suala la kulipa 300,000/-.
Ni mambo yanasikitisha sana, naujua udhaifu mkubwa wa Precision air lakini ndio huwa chaguo la kwanza kabla ya hawa jamaa.
Najaribu kufikiri tu kama kijana huyu, waliomsindikiza na waliokuwa wakisubiri kumpokea walikuwa na furaha ya kuteuliwa kwa 'bulldozer' kugombea urais ambayo imetatizwa na tukio hili la fastjet!
cc: Nairobian

Mkuu, kabla hujawaita wezi kwanza soma terms and conditions zao uzielewe. FastJet wapo strict sana, na kwa sisi wengine tusiopenda ubabaishaji kama wa Precission Air, FastJet ndio kimbilio letu. Hapa chini ni sehemu ya terms and conditions ambazo hata kwenye ticket kuna maelezo hayo ya hicho unacholalamika. Huyo mtoto pamoja na kuwa ana miaka minne inaonyesha wazi kuwa kuna watu waliomleta pale na waliomkatia ticket, hivyo basi terms and conditions za fastjet wanazijua.

"" 7. CHECK IN AND BOARDING
7.1 The Check-in Deadline is 40 minutes prior to the scheduled time of departure. The Check-in desk will close at the Check-in Deadline and you must therefore allow ample time to ensure you can check in before this time. We will not accept you for travel and will cancel your reservation if you do not comply with the Check-in deadline or appear to be improperly documented and not ready for travel. We are not liable for loss or expenses due to your failure to comply.

7.2 You must be present at the boarding gate not later than the time specified by us when you check in.

7.3 We will cancel the space reserved for you if you fail to arrive at the boarding gate in time.

7.4 We will not be liable to you for any loss or expense incurred due to your failure to comply with the provisions of this Article.

7.5 The boarding gate, the point at which you depart for the aircraft, will close 10 minutes before the scheduled time of departure.

7.6 After this time the conditions outlined in 7.2 to 7.4 will apply.
""""
 
mdogo wako alichelewa,next time muwahi maana ndege si daladala.ukishachelewa rules apply,it means km untaka kwenda na ndege ya saa hiyohiyo inabidi ulipe express ticket na ndo hapo badala ya 32000 unalipa 300000.for the same trip.

Wewe ni mwongo.Haiwezekani mtu akiwa kwenye foleni akaambiwa muda umeisha.
What if check in Clerk alikuwa too slow katika kazi yake?

Hilo unalolisema halipo.As long as upo kwenye mstari, au umeikuta foleni ni lazima ucheck in.

Usitake kutufanya wote humu wajinga.

Kwa watu kama ninyi, bora murudishiwe mikia.

Mtu anaandika kitu alichoshuhudia, ninyi munajifanya wenye kampuni.
Tatizo kubwa kabisa ni check-in desk. Hao watu wamekuwa ni corrupt. Wamekuwa wakilaimisha mtu achelewe hata kama amewahi, wakitegemea utoe chochote ili wajidai kukupa nafasi. Hata hivyo nani asiyejua kwamba hii ni kampuni ya kiswahili tu!
 
Ndugu yangu usibishe kama haujui kitu,hao fastjet ni watu wa ajabu sana!watu wanashindwa kucheck in wakiwa kwenye msitari.
Tatizo hapa hiyo system yao inajifunga automatic na ipo Nairobi,na wanakuambia kuwa hawana uwezo nayo,kibaya zaidi watumishi wake nao hawana nidhamu ya kazi hata kidogo,kusafiri na hawa jamaa ni kero ila hatuna jinsi,kibegi kidogo tu unakilipia!na ukishangaa nacho wakati unalipa system ikajifunga inakula kwako!nilishashuhudia watu wakikwama wakiwa kwenye msitari ndugu yangu,inauma sana jinsi serikali inavyojitia upofu kutetea wananchi wake.
Dharula ni kitu cha kawaida katika maisha,ikitokea bahati mbaya umepata tatizo la ghafla,tiketi kuibadili ni bora kununua nyingine!!gharama ni za kutisha!binafsi tiketi 2 niliachana nazo,moja ilikuwa kwenda mwanza tarehe 22/5/2015 na nyingine mwaka jana mwezi 4,nilipojaribu kubadili tarehe ilikuwa ni balaa!sikuamini!

Dawa pekee ya kuwakomesha hawa fastjet na wanatoa huduma mbovu ni kuacha kutumia bidhaa/huduma zao! serikali ya tz haiwezi kukusaidia hata kidogo. Panda shirika lingine la ndege,abiria wakipungua watajiuliza. Sasa kila siku mnalialia humu fastjet this fastjet that na bado mnagombea tiketi unafikiri watajirekebisha wakati kila siku wako overbooked!
 
Hapo SUMATRA haihusiki, ila kama mnaweza kujustify hiyo scenario, wasiliana na TCAA-CCC. Ofisi zao ziko PPF tower, hawa ndo wanahusika moja kwa moja na kumlinda mlaji wa huduma za anga. Otherwise poleni sana wakuu.
Mkuu ofisi za TCAA Consumer Consultative Council zilikuwa pale floor ya sita PPF HOUSE (makutano ya Samora Avenue na Morogoro Road) na siyo PPF TOWER (ambayo iko mtaa wa Ohio). Nadhani kwa sasa watakuwa floor ya kwanza pale Haidery Plaza maeneo ya Kisutu.
 
Mkuu, kabla hujawaita wezi kwanza soma terms and conditions zao uzielewe. FastJet wapo strict sana, na kwa sisi wengine tusiopenda ubabaishaji kama wa Precission Air, FastJet ndio kimbilio letu. Hapa chini ni sehemu ya terms and conditions ambazo hata kwenye ticket kuna maelezo hayo ya hicho unacholalamika. Huyo mtoto pamoja na kuwa ana miaka minne inaonyesha wazi kuwa kuna watu waliomleta pale na waliomkatia ticket, hivyo basi terms and conditions za fastjet wanazijua.

"" 7. CHECK IN AND BOARDING
7.1 The Check-in Deadline is 40 minutes prior to the scheduled time of departure. The Check-in desk will close at the Check-in Deadline and you must therefore allow ample time to ensure you can check in before this time. We will not accept you for travel and will cancel your reservation if you do not comply with the Check-in deadline or appear to be improperly documented and not ready for travel. We are not liable for loss or expenses due to your failure to comply.

7.2 You must be present at the boarding gate not later than the time specified by us when you check in.

7.3 We will cancel the space reserved for you if you fail to arrive at the boarding gate in time.

7.4 We will not be liable to you for any loss or expense incurred due to your failure to comply with the provisions of this Article.

7.5 The boarding gate, the point at which you depart for the aircraft, will close 10 minutes before the scheduled time of departure.

7.6 After this time the conditions outlined in 7.2 to 7.4 will apply.
""""

kwa maana hii.....kama uko kwenye mstari unaachwa!!!! wakati international airlines ukichelewa unatafutwa na unaweza hata kutangazwa kwenye PA!
 
Hapo SUMATRA haihusiki, ila kama mnaweza kujustify hiyo scenario, wasiliana na TCAA-CCC. Ofisi zao ziko PPF tower, hawa ndo wanahusika moja kwa moja na kumlinda mlaji wa huduma za anga. Otherwise poleni sana wakuu.

TCAA wako kitunda mkuu
 
Mkuu ofisi za TCAA Consumer Consultative Council zilikuwa pale floor ya sita PPF HOUSE (makutano ya Samora Avenue na Morogoro Road) na siyo PPF TOWER (ambayo iko mtaa wa Ohio). Nadhani kwa sasa watakuwa floor ya kwanza pale Haidery Plaza maeneo ya Kisutu.

TCAA wapo kitunda,huko walihama zaidi ya miaka mitatu iliyopita.
 
TCAA wako kitunda mkuu

Mkuu tofautisha TCAA na TCAA-CCC. Nimezungumzia TCAA-CCC. Ni kweli kama ulivyosema wao TCAA wako kulia mwa barabara ya kwenda Kitunda kwenye jengo lao linaloitwa AVIATION HOUSE.
 
Sasa amechelewa vipi na unaambiwa yupo kwenye foleni fast jet wahudumu wake ni wajinga sana
 
kwa maana hii.....kama uko kwenye mstari unaachwa!!!! wakati international airlines ukichelewa unatafutwa na unaweza hata kutangazwa kwenye PA!

Kila Airline company ina terms zake katika kuendesha biashara zake. Nijuavyo mimi, ukishakuwa kwenye mstari huachwi. Na muda wa chek in ukishaisha huwa wanahesabu ni watu wangapi wapo kwenye line, hivyo anayefuata baada ya hapo hata kama atajipachika kwenye line atahesabika amechelewa. Na wakati mwingine huwa wanamnote tu mtu wa mwisho siyo lazima wahesabu.
 
Hii ni kampuni yenye mambo mengi ya kipuuzi. Mwaka jana kuna mtu alijaribu kuwafikisha mahakamani kwa kuchelewa kuondoka kwa wakati, sijui hiyo kesi iliishia wapi. Wanastahili kushtakiwa maana yaonekana wao wanaamua wanayotaka bila kujali maslahinya wateja.
 
Fastjet ni hatari, hadi bites na vinywaji ndani ya ndege unauziwa, nimejionea mwenyewe Juzi nilipokua natoka mwanza
 
Nairobian

mkome,
muwe mnapanda hivi videge vidogo vidogo vya wazawa
hatuna ubaguzi wala nini
kama umechelewa foleni tazara,unanipigia simu nakusubiri, mpaka ufike,bei 95,500..dar`````` mwanza``````karibu
Tueleweshane mkuu apo kwenye 95,500 ni bei ya kukodi au mnakuwa na abiria wengine?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mwongo.Haiwezekani mtu akiwa kwenye foleni akaambiwa muda umeisha.
What if check in Clerk alikuwa too slow katika kazi yake?

Hilo unalolisema halipo.As long as upo kwenye mstari, au umeikuta foleni ni lazima ucheck in.

Usitake kutufanya wote humu wajinga.

Local flight manjonjo yoote ya nini? ana kagua kitu gani ambacho hata kabla ya dkk 15 anashindwa kusafiri! Pale airport kuna wateja mpaka wanatajwa na majina kwa international flight kuwa wawahi ndani ya ndege kama wapo eneo la airport. Uonevu huu walikuwa nao Precisionair na ona shirika lenyewe lilivyo kwa sasa!
 
Back
Top Bottom