Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,888
Kama unanamba yake raise matter na tcaa nenda naye huyo mtoto..ndan kuna cctv watakupeleka nakukuonyesha muda anapita kwenye geti lakuingilia..anavua mkanda na muda anafika kwenye counter..thwn cheki ule muda ni sawa muda wa closing tym...kama amepitiliza muda wa closing tym aga unaenda chooni tokea get la nyuma..kama wamefunga kabla na kulikuwa.na foleni..aisee nipm nakutafutia lawyer unatulipa baada ya kumaliza kesi