Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Upo kariakoo umeshusha vioo vya gari!! We ni mgeni hapa dar nini
Huu sio wizi mpya ni wa zamani way back 2003+ ulikuwa maarufu sana kariakooHabari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!
Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!
so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
saw a,ulitaka tujue kuwa una gari
Kunakohusika ni wap?Sijaona uhusiano wa hao wadada,
Huyo aliyekuita kisha kuibiwa.
...
Alafu simu kama ulinunua na una IMEI zake nenda kunakohusika utaipata.
sasa nawewe acha hizo ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! kama ulifahamu ni jamaa ka kuchomoa cm kwa nini usimkamateHabari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!
Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!
so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
saw a,ulitaka tujue kuwa una gari[/QUOTEkwani unamfajamu?
Ha ha ha pole ndo mzoga ushakuachia harufu hivobwana we!siunajua tena fisi kwa mizoga!
mbona mtoa mada hajapaniki?au unatafuta bwanaUna matatizo wewe, kuwa na gari ni nini?
Haaa! Haaa!Ww palata unamumiza mwenzako kwa maneno makali MPE polesaw a,ulitaka tujue kuwa una gari