Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,611
- 21,135
Mbinu ya zamani tu hii..
hii ni sit Ya "Joseferest"saw a,ulitaka tujue kuwa una gari
wizi ni wazamani ila wamempata mshamba mpyaHabari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!
Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!
so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
Aarrrrgh!!! Sidhani kama gari lilikuwa lake,,, watu wenye magari yao hawanaga shobo za kutoatoa lift kwa watu wasio wafahamusaw a,ulitaka tujue kuwa una gari
Nahis mtoa mada ni domo zege,,, alitaka papuchi ya bila jashoWatu huwajui unawapa tu lift, kisa wanawake?


. Al badr ingewahusu.polesana..!! ila usipende kuwapa lift watu usio wafahamu
Mmesoma na kuelewa kweli? Waliomwibia sio hao wadada aliowapa lifti...Watu huwajui unawapa tu lift, kisa wanawake?
