Wizi wa aina mpya ukiwa Kariakoo

Wizi wa aina mpya ukiwa Kariakoo

Habari zenu wanajamvi!

Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!

Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!

so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
Hii ni kwa wenye ndinga, wengine hatuna!
 
1. Sajilini simu zenu kwenye kampuni za ku track simu au kama mnaweza nunueni software hizo ili mzi track wenyewe

2. Dar sio sehemu salama ya kuishi kwani kuna vijana wanatembea na boda boda wakiwa wamepakiani mishkaki , ukisimamisha wanachomoa mapanga au wanakutengenezea ajali kwa kukugonga na wanachukua kila kitu
 
yaah siwafahamu!
Mkuu kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa,siku zote usimpe mtu lift usiyemjua sehemu anapoishi, iwe ndugu, jamaa, rafiki, mzazi etc......... Watu wanaofuata principle fulani fulani hivi na walio mabandidu ndio wanafanikiwa
 
Habari zenu wanajamvi!

Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!

Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!

so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!

Ulishindwaje kufurukuta na kuchomoka ndani ya gari huku ukipiga kelele za "mwizi" katikati ya Kariakoo?
 
KUNA UHUSIANO GANI KATI YA HAO WADADA NA KUIBIWA S8
 
Ulishindwaje kufurukuta na kuchomoka ndani ya gari huku ukipiga kelele za "mwizi" katikati ya Kariakoo?
kumwitia mwizi inategemea ukiwa unamuona!pili kwenye foleni nyuma magary kibao na honi kibao! sasa kama ww ungefanya je?
 
sasa nawewe acha hizo ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! kama ulifahamu ni jamaa ka kuchomoa cm kwa nini usimkamate
baada ya kustuka kama naibiwa!nikataka nishuke kumbe nilikua nimefunga mkanda!ndo kilichonichelewesha!
 
kumwitia mwizi inategemea ukiwa unamuona!pili kwenye foleni nyuma magary kibao na honi kibao! sasa kama ww ungefanya je?
Hasara kubwa sana kwa simu ya hadhi hiyo. Hapo si chini ya 1.5 million. Natumia Galaxy S8 Plus nimelipa 1.7 million
 
Habari zenu wanajamvi!

Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!

Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!

so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
Pole
 
Back
Top Bottom