S8 piasaw a,ulitaka tujue kuwa una gari
Mkuu huu sio wizi mpya bali ni wa miaka nenda rudi. Miaka kumi ilopita nilishuhudia mzungu akipigwa kwa dizain hiyo. Ni pale mataa ya Bibi Titi na Morogoro. Jamaa alikuja upande wa dereva na kufungua mlango wa mbele na nyuma akamwambia awe anaweka lock ataibiwa. Wakat anashangaa huku mlango wa nyuma kushoto ukafunguliwa jamaa kachukua begi na kukimbia huku taa zimeruhusu. Patamu hapoHabari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!
Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!
so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
TCRA na POLICEKunakohusika ni wap?
Hii mbona ya kitambo sana?Habari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!
Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!
so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
Huo ni wizi wa zamani sana ingawa mpaka leo kuna watu bado ni wahanga.Habari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!
Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!
so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
Ok asanteTCRA na POLICE
Ha ha ha ha hi style ya zamani sana naona wameanza kuitumia tena, pole sana mtoa mada kwa kuibiwa.Huu wizi wa mwaka 47!!!!!
Na Samsung S8saw a,ulitaka tujue kuwa una gari