Bila shaka unawajua wengi tu wenye magari.saw a,ulitaka tujue kuwa una gari
Lift tukiomba masela mnakaza.fresh tu wacha kulia lia umenunua tecno w2 sasaHabari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!
Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!
so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!

Hahahah hahaha hahaha hahah nimecheka Sana mkuu hawa watu wanaofika mjini mwaka WA magu wanataka tujue nao wanafahamu mitaaWe hauna hata xmas tatu mjini inavoonesha umemfata kaka yako wa kolomije daudi albert bashite gari,charger,wanawake,s8galaxy,kkoo,agrey sawa sasa rudi kwenu kahadithie
Kwa maelezo yake hao wanawake hawahusiki.Watu huwajui unawapa tu lift, kisa wanawake?
Kuna maneno humu jf nyie! Yawezakufanya mtu usilale!Gari yenyewe Passo then unafungua vioo kubana mafuta. Huenda umeibiwa TEkNO tochi unazuga s8
Kwani papuchi inapatikana kwa jasho la chagulaga hadi Dar, town ndanindani? Hiyo sijawahi kusikia.Nahis mtoa mada ni domo zege,,, alitaka papuchi ya bila jasho
Huyu yeye ndo atakuwa mpya 😀Wizi wa aina mpya....? .....sina mbavu!!
Kwa kariakoo huo sio wizi mpya mkuuHabari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!
Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!
so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
Lakini huwezi kuamini pamoja na kuwa na gari lakini anasikitika sana kwa kuibiwa simu. Walah hali ni ngumu sana.saw a,ulitaka tujue kuwa una gari
Wizi wa aina hiyo mbona upo muda mrefu tu hapo Kariakoo.Habari zenu wanajamvi!
Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya saa kumi za jioni! Nilipitia maeneo hayo na wadada fulani wawili niliowapa lift wakaniomba niwashushe kuna kitu walikua wanahitaji maeneo hayo!
Sasa baada ya kuwashusha kusogea mbele kidogo nikasikia jamaa akiniita kunieleza kua naitwa ile kugeuka kutizama tu kushoto kwangu jamaa mwengine akaingiza kichwa na kuchomoa simu yangu aina ya s8 galaxy iliokuepo kwenye charge! Kumbe kufunga vioo pia inasaidia sana kupunguza wahalifu kufanya yao!kwahiyo hapa nilipo maumivu yangu ni makali mnoo!hata kazini sijakwenda kwa maumivu ya jana!!
so nawapa angalizo muwapo maeneo hayo!!
tena ana roho nzuri anawapa lift wadada!saw a,ulitaka tujue kuwa una gari
Watu huwajui unawapa tu lift, kisa wanawake?