Na wewe kasubirie TBL ihamishiwe mbinguni... Umeambiwa hapa ndo penyewe?Naona sredi limeshatekwa na wanaapolo....... Ngoja nimstue fellow tablet kule famasi ............ Waheshimiwa wakubwa nyie.......

Na wewe kasubirie TBL ihamishiwe mbinguni... Umeambiwa hapa ndo penyewe?
Wewe usinizibie! Nani muheshimiwa? Unataka nkifa niwekwe kwenye kundi 1 na mahayati?.... Afu nmesahau, hv dawa ya deni ni nini tena?.. Usiseme unanidai sema tunadaiana!... Sawa muheshimiwa ODM??

Dah umekuwa mnoko kama masaburi...... Afu unajua nakudai? Na dawa ya deni unaijua muheshimiwa?

Nlikuwa nataka kukusalimu kijanja......... C wajua navyokumisigi? Afu nna salamu zako.....

Tatizo unanchanganya ujue, mi sipendi unavyomchuna muheshimiwa kloro huku mapenzi yote yapo kwa uporoto, naumia ujue, mwache bana anunue hata viatu...
Hahaha! Subiri aje mwenyewe athibitishe kama ni mzima ama laa!...ngoja mi nijivue zangu gamba!..

kloro nimempa pesa akanunue nguo na viatu thailand amekataa kisa alivyozaliwa hakuzaliwa na nguo.
Wanaosema kloro mzima nitawapeleka kwa dokta riwa.
Khaaa!Muheshimiwa Kloro yule baamedi Lucy Tentemente anasema mbona umehama baa baada ya kumchezea/kumpotezea muda ? nilimuuliza kwani kawa mpira achezewe ? hahaha!
Toba!...Mheshimiwa klorokwini....
Dah!......Khaaa! Umeamua kumdanganya uporoto mbele ya macho yangu? Siamini hakyanani..
Lahaula!Una uhakika?
Dr Riwa alishauri tukihisi homa tukapime!

safi mpenzi, nimekumiss hadi nahisi homa.
Kulaleki! kamanda analembea mistari kwa kimanga sku hizi! khaaa!za jioni laaziz.
Husninyo ni member wa hapa JF?Samahani muheshimiwa klorokwini nna barua yako toka kwa Husninyo, ntafute kwa maelezo zaidi.
heheheeh! sweetlady asifiwe. aaaamen!

dah! Body guard mwaka huu usipoongezewa mshahara naandamana hadi washington dc. Khaaa!
Nimeanzisha uhusiano rasmi na mod mmoja wa kike, uko kwenye list ya honey wangu kupigwa ban chini ya uchochezi wangu. agana na uporoto kabisa

mheshimiwa kloro amepigwa ban.
Reason: kulazimisha uheshimiwa wakati sheria za jf zinakataza.
Mama ushaichana CV vibaya sana. khaaaa! umenikonfyuzi na The finest nazani, the finest mpaka majoho ya graduation yeye anavaa club.Daaah! Afadhali apigwe ban bana, we uliona wapi muheshimiwa anavaa suti na raba??...lol..
Umeonae?..
nami huku usiseme yaani we acha tu
wa asilimia 500 %
hawezi kunidanganya huyu hata uongo haujui ulivyo.
heheheh kamanda bana, kale kabajaji kako kanakokupatia lunch dereva kapiga simu kamekatika shocks aisee!anasema simu yako haupatikani fanya uwahi maeneo adhawaizi kesho hakuna ugali.duh! kloro ana riho ngumu hajakata tamaa bado ?
Nanyemelea kale kamtaji ka husni ka maandazi, nikikakamata tu natafta viza ya botswana, natimua.Hajakata aisee, sijui husni alimuahidi nini bana..
Khaaa! mdada unatisha kuliko horror muviSiku utakapolia na kusaga meno usijesema sijakupa tahadhari. Ujue kinga ni bora kuliko tiba..
Usije ukatuanzishia sredi mheshimiwa! MMU wenyewe sku hizi wamefulia!ahadi hizo naona zilikuwa zamani yaani my spanish lady sina wasiwasi nae.
khaaaaa!Hahaha!... Na kloro nae anasemaga maneno kama yako....lol..
Habari yako Mheshimiwa Dawa ya Malaria........or sory Klorokwini....or Fansida nimepita tu kusalimu (Hapo kwenye fansida taratibu usinitoe macho)
Sredi yangu ikipelekewa jukwaa la wakubwa utakoma! nakuhamisha mjini.

baby ndio maana nakupenda. Njo chumbani nikupe 1kiss......
Sweetlady wenyewe anaishi kwa jirani!

khaaa! Ukiniharibia ndoa ntahamia kwako ujue.
dah! hapa CV imechomwa moto kabisa yaani

kloro sio mheshimiwa bwana maana anatumia masaburi kufikiria.mia.
Khaaaaa!Tatizo unanchanganya ujue, mi sipendi unavyomchuna muheshimiwa kloro huku mapenzi yote yapo kwa uporoto, naumia ujue, mwache bana anunue hata viatu...
Hahaha! Subiri aje mwenyewe athibitishe kama ni mzima ama laa!...ngoja mi nijivue zangu gamba!..
ukiita Mheshimiwa hakikisha sauti unaweka ringtone!Mheshimiwa umerudi eeh..

ukiita Mheshimiwa hakikisha sauti unaweka ringtone!

Nimerudi orozesha matatizo yako yote ya mwezi ujao.

Uporoto washamsweka rumande! kaiba mixer ya DJ.

nirudishie laptop na modem yangu.

nina mchumba mod siku hizi, ukipigwa ban kazi kwako. you have been warned

unamaanisha wiselady kawa mod!
Afadhali aisee.
Tobaaaa!Khaaaa! mod name calling! acha nilog out aisee! nina press conference kushwawishi vijana kuvaa mabukta, makufuli yanasababisha fungus!
usibarikiwe!

Khaaaa! mod name calling! acha nilog out aisee! nina press conference kushwawishi vijana kuvaa mabukta, makufuli yanasababisha fungus!

usibarikiwe!
:clap2:ukiita Mheshimiwa hakikisha sauti unaweka ringtone!
Nimerudi orozesha matatizo yako yote ya mwezi ujao.
Uporoto washamsweka rumande! kaiba mixer ya DJ.
:A S thumbs_down:

nirudishie laptop na modem yangu.
😛ainkiller:nina mchumba mod siku hizi, ukipigwa ban kazi kwako. you have been warned
:coffee:

unamaanisha wiselady kawa mod!
Afadhali aisee.
:sick:Khaaaa! mod name calling! acha nilog out aisee! nina press conference kushwawishi vijana kuvaa mabukta, makufuli yanasababisha fungus!
usibarikiwe!
:horn:Tobaaaa!
😛ainkiller:

yesuuu na maria..

Kwa mujibu wa sheria na kanuni za uendeshaji wa JF jukwaa la Chit Chat...........Nyie wote hapo juu mmetumia masaburi kuchangia hii sredi. Mkifa mtaitwa mahayati.

Marehemu Mtarajiwa nahamishia kambi jukwaa safi la Maria Roza. Hapa naona mnaniwekea usiku tu!

Mkimwona Husninyo mwambieni namsubiria kule.
Nakusubiri huku hebu jibu PM yangu ili niamini bado uko hai.

mi nikifa nitaitwa shujaa.
Babu katiba ya jf ibara ya kwanza inasema ni marufuku member kumwita member mwenzie vichochoroni.....

Nakusubiri huku hebu jibu PM yangu ili niamini bado uko hai.