Wizi Mtupu!

kwa kiswahili cha kwenye dikshineri kabisa, hata mimi ni Hakimu, jana niliwahukumia majirani waliopigana chabo na wakarizika na hukumu yangu, je namimi ni mheshimiwa? Au unakusudia Hakimu wa Kisutu tu na mahakama za kiserikali ?

muone huyu naye....lol!!

mahakama yako iko maeneo gani? kwa mtogole?
 
heheee zilikubana ukasika kwa wakwe unatembea ka umeliwa na funza? lol...pole!!

halafu naskia unatema kweli (miguuni) hadi invi kaamua kukuachia ndaba zenyewe....

heheheeh Invi kapata ndaba mpya bana kwahisani ya tangazo la tigo hapo chini! sasa daily nikimlejeshea zile ndaba mbov zake zilonipigisha kibuti anajifanya kuongea kiingereza " hey what da hell iz this buddy " ?
 
Reactions: bht
jamani wee biggy wewe ...nimecheka mpaka nimeshiba bila kula....

yaani mtakuwa hamjatosheka mnataka kuhama na TBL/SBL kabisa?

hapo kwa kin hayati kupigwa mafuta itakuwa bora zaidi. wanatutesa sana hapa, ni vizuri na wa wakaonje joto ya jiwe huko
Hahahaha...usicheke bana...... Raha ya mbinguni unapata chochote ulichokuwa unakipenda duniani.... tena bure...

Kama unapenda uzinzi utaletewa mabinti bikira
Kama mzee wa ulabu unaletewa Viwanda vya bia baridi
Kama unaipenda JF unakabidhiwa umodereta
Klorokwini atapewa pea kazaa za raba mtoni
Na wewe unavyopenda MaSENKSI....... utamiminiwa ya kutosha
Lily Flawa atapewa maLIKES kibao
Mbu atakabiziwa makatuni na jukwaa la MMU
Lizzy atakabiziwa fungu la unoko.....

Njooni tuelekee mbinguni, kuna raha jamani....
 

Hiyo ni mbungu gani?
 

acha kunisingizia wee si ndo ulikuwa unayadaigi kwa lazima, mi hata batani yake sikuwahi kuiona..lol

Mbu aongezewe na muvi za vikatuni, vitabu vya mapicha na bila kusahau kompasi, penseli, kifutio na makaratasi meupe ya kuchorea (ma grafu na ma pie charts)
 
Kama ulitoa hukumu kama ya kina Mwanajamiione wewe si mheshimiwa lakini kama ni kama ya kina Kiranga, we ni mheshimiwa. Ukifa utakutana na kina Adolfu Hitla kwenye kambi za mahayati.......

sasa huu ndio ubaguzi ninaouongelea! kwanini MJ1 wasimuite mheshimiwa wakati kasababisha ndoa halali na talaka kibao kupitia hukumu zake za MMU! hata Mbu anastahiki hii medali!
 
heheheeh Invi kapata ndaba mpya bana kwahisani ya tangazo la tigo hapo chini! sasa daily nikimlejeshea zile ndaba mbov zake zilonipigisha kibuti anajifanya kuongea kiingereza " hey what da hell iz this buddy " ?

hii twisheni wapi? huko huko kwa Invi? umeimpruvu daah...unauendea USUGU!
 

Kloro unatafuta uheshimiwa kupitia shopping tena Mkuranga, hutakaa uupate ha ha ha ha.
 
 
Eti wanasema "Heshima ni kitu cha bure", mbona sisi walalahoi hatuitwi "waheshimiwa"? au hatustahili "heshima" au "kuheshimiwa" ? Wanasiasa bana! Nilikuwepo! wasalimieni JF Chit Chat
Muheshimiwa Kloro yule baamedi Lucy Tentemente anasema mbona umehama baa baada ya kumchezea/kumpotezea muda ? nilimuuliza kwani kawa mpira achezewe ? hahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…