Wizi arusha...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi arusha......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by _ BABA _, Nov 7, 2011.

 1. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana jamii ninaombeni sana msaada wenu..jana jioni siku ya Jumapili maeneo ya Metropolitan karibu na Green heart restaurant kwa wale wanaofahamu Arusha nikiwa kwenye pikipiki nilivamiwa na kundi la Vijana zaidi ya 50 waliokua wanaandamana wakaninyang'anya hand bag yangu kwa kuivuta kwa nguvu hadi ikakatika mkanda, nikashuka kuwafatilia wakatoa visu pamoja na sime wakanambia kama nataka kufa niwafate watu waliokuwepo around walinisihi nisiwafate maana wale jamaa ni watu wabaya na waweza hata niua,mie bado mgeni hapa Arusha, then wakatokomea nayo kuelekea maeneo ya Unga limited...kwenye hand bag yangu kulikua na IPAD aina ya APPLE 32GB pamoja na vitu vingine vidogo vidogo...nilifika kuripoti kituo cha police cha Unga limited askari nilimkuta akitiririka jasho kanambia ndiyo tu kwanza katoka kukimbizana na jamaa hao hao walimu-attack jamaa moja na kumchania suruali yake wakachukua pesa pamoja na walet yake pia huko njiani walikua wakipiga watu na kuwanyang'anya vitu kama handbags kwa akina mama?dada...Ombi langu kwa wana Jamii wa Arusha PLease ukiona mtu anauza IPOD mtaani au anataka kukuuzia or umepata fununu inauzwa sehemu naomba uni-PM or toa taarifa kituo cha polisi.......Nimefungua file pale Central na nina RB.....ninahitaji sana msaada wenu ndugu zangu maana hiyo IPOD ndiyo ilikua inanisadia kufanyia kazi zangu zote hata ku-browse hapa jamvini......natanguliza shukrani zangu kwenu nyote...
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  pole mkuu kwa yaliyokukuta ndio mji wetu jitahidi kuwa makini sana hawa jamaa ni hatari wamekataa tamaa na maisha ni magumu so wanayatafuta kwa kila njia....
  Hii ni changamoto ya hili jiji , inatia hasira sana hawa polisi badala ya kuhangaika na vibaka kama hawa wanadeal kila siku na wasiasa hasa wachadema ....
   
 3. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu...
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu nisahihishe vizuri....ni IPOD au IPAD....ili nikisikia niweze kujua....pole sana
   
 5. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Muongo wewe! central police naangalia katika Report Book yao hakuna reported case ya namna hiyo. Hata IR register haina case namna hiyo Mkuu, au unamaanisha nn?
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kiongozi pole sana!!
  Hakyanani nimejisikia kama ni mimi nimefanyiwa hilo jambo!
  Vijana wa Unga Ltd ni hatari sana!..Polisi wanajua sana kuhusu hali hiyo lakini hawajaamua kuchukua hatua yoyote!
  Tuombe Mungu lakini uwezekano wa kuipata hiyo Ipod ni narrow...cha msingi kaza buti ujiandae na kuwekeza ili ununue nyengine, hata kama utaipata hiyo iliyoibiwa basi utajua cha kufanya!
  Ushauri, next time angalia sana maeneo unayotembelea i relation to vitu unavyobeba!..ingawaje mahala lilipokutokea hilo tukio ni mjini kabisa!...ajabu!
  Pole sana broda!
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ishu si kujua tu, uweze kufuatilia na labda kuirejesha kwa mwenyewe!
   
 8. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni IPAD mkuu samahani
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mkuu pole sana,mbona hiyo idadi ya vibaka kama 50 ni group kubwa sana
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  orait...ili niweze kuijua......ngoja nifanye mchakato wa kujua IPAD ya jamaa iko wapi......seriously..
   
 11. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu niseme uongo ili iweje?....mie nimefika hapo na kuandika maelezo mida ya saa mbili jioni na nilimkuta Askari wa kiume na kike na hapa nina RB na baadaye kidogo nitapita hapo ili nimjue mpelezi wa kesi yangu....naomba uangalie vizuri or muulize askari aliyekua zamu jana jioni atakuonyesha hilo file mkuu.....
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nahofia wewe ndiyo muongo!
  Nikiangalia haupost via mobile, na kwa uzoefu wangu, pale Central hakuna kompyuta hata ya dawa!...unapostije?:lol::lol::lol:
  LAbda kama ipo ni kwenye ofisi ya RPC!...huku kwa wajasiriamali hamna kitu!...hata karatasi za ripoti mbalimbali mwenye shida anatakiwa akatoe photocopy pale ng'ambo ya barabara kwenye kontena la blue!
  Acha kudharau na kuwananga watu wenye matatizo wewe!...hayajakukuta!
   
 13. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana Mkuu kwa ushauri..
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye hand bag palinichanganya nikadhani ni mdada....
  pole sana. usisikitike sana, inatokea. nchi inachosha hii kama nini sijui!
   
 15. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Pole sana Mkuu huu ndiyo uzao wa CCM na miaka 50 yao madarakani kwa kweli .
   
 16. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole kama ni kweli BUT hapo kwenye vijana zaidi ya 50 namashaka napo
   
 17. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kweli wewe lazima ni mgeni hapa arusha,before i comment kwanza hamna mahali arusha panapoitwa metropolitan,panaita metropole,na hapo pembeni yake siyo green heart,ni green-hut.....pole sana ndugu,,hii ndo arusha yetu na mambo kama hayo ni kawaida tu,kama ni vijana wa ungaleloo andika maumivu,wa2 wa a-town wanapenda sana vitu vya cross than vipya so hiyo mashine yako tayari ishauzwa kitambo,na sababu walikuwa wengi,hela ishatafunwa pia,vumilia,jikaze na jipange upya
   
 18. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu, hayo ndiyo matokeo ya kuwa na kundi kubwa la vijana ambao wako nje ya ajira. Kuhusu IPAD, fanya tuwasiliane ili nikutafutie nyingine kwa bei rahisi sana. Si unajua tena sisi ndiyo wazee wa mjini, hata ukitaka side mirrors zako ulizoibiwa hapa utapata tu.
   
 19. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  vibaka 50?.

  hii inanifanya kidogo nisite kuamini.
   
 20. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Mbona kawaida hapa mjini!wako kigroups na wana vibosile wanauwatumia nawanalipw ujira kwa kazi zao!kupata hiyo Ipad ni ngumu sana!check tu ustaarabu mwingine
   
Loading...