Wivu kwa mchepuko

Wivu kwa mchepuko

pole kaka huenda mke wako nae kaenda kwa mchepuko wake....tulia na familia yako...tatizo wew ni kivulana na sio mwanamme ....mwanamme aliyekamilika hachepuki huwa anawaza aifanyie nin familia yake ili wajivunie kuwa nae na sio kuhangaika na micheppuko....badilika kaka...
Inawezana Mkuu nikawa kivulana kwa umri wa above 30?Any way huo ni mtazamo wako pia na siwezi kuupinga nitajitahidi kuuzingatia ushauri wako pia.
 
Habari za wakati huu wana MMU,

Juma mosi ya juzi nilivyotoka kazini nikawa sina mahali pakwenda kupumzika kama mnavyojua hiyo siku huwa tunafanya kazi nusu siku .

Mke wangu kipenzi alikuwa amesafiri so nikaona niende kwa mchepuko wangu bila kutoa taarifa kwake. Nilivyofika mlangoni nikaona kuna sandals za kiume sikuwa na shaka ila radio ilifunguliwa kwa sauti ya juu sana.

Niligonga mlango wala sikupata majibu yoyote ikabidi nimpigie simu lakini haikupokelewa.Ikabidi nisepe ila roho ilikuwa inaniuma sana.

Baada ya dakika tano wala sikuwa nimefika mbali akanibip nikampigia.Akasema nipo kwenye gari simu ilivyoita sikuisikia, Nikamuuliza nyumbani kuna mtu akasema nyumba ameifunga so hakuna mtu. Nikasikia hasira sana yaani amenifanya mimi boya.

Ikabidi nigeuze nirudi mpaka pale kwake ili nihakikishe kama kweli hakuna mtu au niliangalia vibaya.Bahati nzuri pale nilimfungulia biashara ya kuuza duka na duka lilikuwa wazi nikaenda dukani nikajifanya nahitaji kununua bidhaa pale mara akatoka yeye alivyoniona alipata mshtuko mpaka akawa ameganda tu pale hata hajanisemesha mbaya zaidi alikuwa amevaa upande tu wa kanga.

Nikamuuliza umerudi saa ngapi hakujibu nikamwaambia endelea na maisha yako mama siwezi kupigana mimi.

Jana jumapili ilipita kimya hakunisumbua wala nini ila leo nashangaa ghafla nakuta msg ya kuomba msamaha na maelezo kibao wala sijamjibu mpaka sasa na nilishatia nia ya kumuacha moja kwa moja kwa sababu sina nguvu za kupigania papuchi.

Kwa wale wazoefu hivi roho inapouma kwa mchepuko wako kuchepuka katika nyumba unayolipia kodi ni dalili ya wivu au ni kujihisi umefanywa mjinga?
Wivu wa nini kwa mchepuko. Kinachoumia wengi ni zile gharma wanazoziingia wakati wakila raha na hiyo michepuko. Pole, siku nyingine acha kuendekeza ni kugharamia michepuko. Bei zao huwa hazizizdi sh 10,000/=, unapiga, unalipa, unasepa.
 
Inawezekana lakini sidhani kama yeye ndiye ila nahisi yeye anaweza kuwa na mchepuko wake kwa sababu sasa hivi yupo Ifakara na baridi la kule huwa sipati picha kama anaweza kuafford kulala peke yake.
Wanamtafuna akirudi yani nimechoka ukome
 
Kwani wewe umetulia na mume wako?
Piga chini hakukutafta onspot baada ya tukio kwakuwa alikuwa bado na huyo bwanake anabinuliwa.
Kasubiri aondoke ndipo kakutafta baada ya kutafakari akaona wewe ni ATM
 
Kuna mzee Mmoja wa kanisa kaja kumpangia mchepuko wake sehemu nilipopanga...... mzee anakuja mara moja moja sana.. basi mm namgegeda kama mke wngu vile....... usiku nalala naye sina wasiwasi kabisa....... Maisha raha sana sana..... Mungu nijaalie niwe kijana
daima....

Inawezekana wewe ni muhuni...sasa unatiana na mke wa mzee huoni ni kinyume...huyo.teyari ni mkewe...anyway ukikuwa utatomb.ewa pia
 
Nilifundishwa na wazee wangu kuwa. Mwanamke akishajua umeoa unamke hawezi kuwa na mapenzi nawe kamwe, atakuektia anakupenda ili apate huduma zako za kipesa mapenzi kwa wengine. Rule namba moja, Usimpangie hawara coz ukitoka tu kuna njemba inaingia kula mzigo, Rule namba mbili, Nipe nikupe habari za kufunguliana biashara au kujengeana nyumba sahau unless uwe umemzalisha. Golden rule, mchepuko usijue kama umeoa ukijua tu mapenzi kwishney...unatafutiwa msaidizi anapewa mzigo free of charge coz boya unalipia gharama zote. Ukweli mchungu

Well said...

But the biggest rule for men.Usiwekeze kwa mwanamke ikiwa hajakuzalia.

Unajua ni aghalabu kumpata mwanamke unayempenda na pia mungu akakubaruki kupitia yeye...anaweza kutokea mmoja kwa miaka kumi...ukampoteza ukajuta sana...

Wewe kaka ulieandika huu uzi...jitathmini ni nini kilikufanya ukampenda huyu demu...
Kama ni papuchi tu..basi umege tu mzigo kisha usiendelee kuwekeza...na wenzio wachangie...

Kama anakubariki mtie mimba umzalishe kwanza kisha musaidiane kulea mtoto wenu...

Mwanamke kawaida hutia akili akiishazaa.
 
Kwani mkeo hakuridhishi mpaka uwangaike na hawara?jamani nyie wanaume kha mungu saidia
Mke wangu ni mtu wa kusafiri sana yaani ndani ya mwez huwa anakaa nyumbani week moja tu ila huwa ana play part yake vizuri tu akiwa home.
 
Mara nyingi ndivyo ilivyo, kuwa unalipia kodi ya chumba/nyumba, biashrara umemfungulia, gari umemnunulia lakini bado kuna Msaidizi wako. Hapo wala usiwe mkali, endelea naye tu maana hata wewe ni mwizi hapo, huenda aliye kuwemo ndani ndiye mume mtarajiwa naye analipia hicho chumba na biashara kamfungulia.
Mara nyingi ndivyo ilivyo, kuwa unalipia kodi ya chumba/nyumba, biashrara umemfungulia, gari umemnunulia lakini bado kuna Msaidizi wako. Hapo wala usiwe mkali, endelea naye tu maana hata wewe ni mwizi hapo, huenda aliye kuwemo ndani ndiye mume mtarajiwa naye analipia hicho chumba na biashara kamfungulia.
🙂🙂🙂🙂🙂
 
Yes ila ni ukanda huu huu wa Africa masharika na kati.
Do kweli ndoa ndoano, wakati mke wako anasafiri anahangaikia familia wewe unapata mtaji wa kufungua maduka. Fikiria huyo bi dada ni wangapi wazuri anaokutana nao lakini anajua anacommitment, au wenzetu definition yake bado hamjaielewa?
 
hiyo ndo athari za michepuko....hivi huwa unatumia kinga? hofu yangu ni hiyo networking mnayodevelop.....halafu umeutoa ddm!!! ukauleta jijini,,,,,,kakautana na wauza urembo na samaki majumbani....hahahahahaaaaaaaa....achana nae mkuu..anza upya,,this time nenda moshi kabisa kachukue dadangu....
 
Do kweli ndoa ndoano, wakati mke wako anasafiri anahangaikia familia wewe unapata mtaji wa kufungua madua. Fikiria huyo bi dada ni wangapi wazuri anaokutana nao lakini anajua anacommitment, au wenzetu definition yake bado hamjaielewa?
Tunajifunza kutokana na makosa ila siwezi jua nadhani kwenye kipimo cha uaminifu kila mtu anajijua mwenyewe.Kusafiri kwake ni mimi ndiye niliyempa huo mataji pia sio kwamba alikopa bank au nilimkuta na hiyo biashara .Na mimi pia naendelea na kufanya kazi zangu ili kuongeza mfuko wa familia.
 
hiyo ndo athari za michepuko....hivi huwa unatumia kinga? hofu yangu ni hiyo networking mnayodevelop.....halafu umeutoa ddm!!! ukauleta jijini,,,,,,kakautana na wauza urembo na samaki majumbani....hahahahahaaaaaaaa....achana nae mkuu..anza upya,,this time nenda moshi kabisa kachukue dadangu....
Mkuu kinga muhimu siwezi kufanya hivyo hali ya kuwa sijapima usalama wa damu yake.
 
Back
Top Bottom