Wivu kwa mchepuko

Wivu kwa mchepuko

Kuna mzee Mmoja wa kanisa kaja kumpangia mchepuko wake sehemu nilipopanga...... mzee anakuja mara moja moja sana.. basi mm namgegeda kama mke wngu vile....... usiku nalala naye sina wasiwasi kabisa....... Maisha raha sana sana..... Mungu nijaalie niwe kijana
daima....
 
Kwa unataka kusema nirudi tena mkuu ili niweze kufanya hizo za kufilisi?
Papuchi si alikupa lakini sasa ufilisi nini tena hapo we ni mwizi kwa mkeo acha hyo tabia si deal kwa mkeo ndo unapata free papuchi mana umeilipia mahari
 
Kuna mzee Mmoja wa kanisa kaja kumpangia mchepuko wake sehemu nilipopanga...... mzee anakuja mara moja moja sana.. basi mm namgegeda kama mke wngu vile....... usiku nalala naye sina wasiwasi kabisa....... Maisha raha sana sana..... Mungu nijaalie niwe kijana
daima....
What ever you are doing in this world comes around. Huo ni uzinzi na hapo mnashare magonjwa kati yenu watatu kwa raha na furaha. Hivi kijana kama wewe kwanini usiwe na girl friend ambae mnaendana ki umri, ki mawazo, hata kwa malengo. Sasa huo mchepuko mnaongea nini au ni kugegedana tu? Akija huyo mzee si unaona wivu sasa ya nini yote hayo kijana mdogo?
 
Kaka naomba uwe na akili na muelewa wa maisha.Badala ya kuinvest zaidi kwa mke wako na watoto,wewe unaangaika kumfungulia biashara mchepuko.Assume siku ukawa ovyo like umefilisika au unaumwa na umelazwa yani hali ni mbaya,unahisi mchepuko utakukumbuka??

Tuzijali familia na si nyumba ndogo
 
Mkuu ushauri wako ni mzuri sana ila ninachoshukuru ni kuwa katika familia nilishawekeza vya kutosha yaani mke wangu ana miradi mikubwa tu hivyo hiyo jumamosi alisafiri katika biashara kwa wale wafuatiliaji wa zao la mpunga sasa hv ifakar ni kipindi cha kuvuna mpunga hivyo mke wangu yupo huko ameenda kusimamia uvunaji wa shamba lake so sidhani hata kama nikifa leo ghafla kama watatetereka kimaisha na huyu mchepuko duka lake hata milioni tano haifiki kwa huo mtaji wake ndio niaamini kama huyo mwizi wangu hajiwezi hatoweza kulipa kodi ya pale anapoishi nilimfungulia ile biashara ili aweze kununu vocha, nguo na vipodozi tu asiwe na virungu visivyo na tija.
 
Yaani wanaume wa dar siwaelewi kabisa yaani kupewa papuchi unaanza kulipia MTU kodi ya nyumba isitoshe unampa na mtaji kabisa wa biashara??? Hizo pesa kwa nini usiweke kwa saving account kwa ajili ya watoto wako. This hoes ain't loyal
 
Mkuu ushauri wako pia mzuri ila lazima kuwe na tafauti hizo wewe unadhani huyu mwanamke hakupenda kuishi huko mkoani kwao nilikomtoa (Dodoma) ila na yeye alitamani kuja kula raha za Tanzania ambazo zinaptikana Dar.
Ni mambo ya kawaida sana haya hasa kama umeshawekeza somehow katika familia.
 
Kwani mkeo hakuridhishi mpaka uwangaike na hawara?jamani nyie wanaume kha mungu saidia
 
Mkuu nahisi kwa sababu mimi ndiye ninayemlipia hela na ya ile pango katika nyumba anayoishi na biashara ya duka nimefungulia .Lakini bado analeta kidume kwenye hiyo nyumba na kitanda nilichonunua mimi nahisi ndio kitu kinachoniuma roho.

Nilifundishwa na wazee wangu kuwa. Mwanamke akishajua umeoa unamke hawezi kuwa na mapenzi nawe kamwe, atakuektia anakupenda ili apate huduma zako za kipesa mapenzi kwa wengine. Rule namba moja, Usimpangie hawara coz ukitoka tu kuna njemba inaingia kula mzigo, Rule namba mbili, Nipe nikupe habari za kufunguliana biashara au kujengeana nyumba sahau unless uwe umemzalisha. Golden rule, mchepuko usijue kama umeoa ukijua tu mapenzi kwishney...unatafutiwa msaidizi anapewa mzigo free of charge coz boya unalipia gharama zote. Ukweli mchungu
 
Nikimkumbuka jamaa anaemiliki mchepuko xxx, anaishi nao ndani. Na huyo mchepuko una ngoma nahisi kutetemeka....
 
We jamaa bana!

Yaani una catch feelings na mchepuko?

Na hapo usikute mkeo naye ana mchepuko [nani anasema wachuchu hawachepuki?].

Kanuni kuu ya uchepukaji: Uchepukaji hauhitaji wivu.

Wahshi kabisa wewe.
 
Nilifundishwa na wazee wangu kuwa. Mwanamke akishajua umeoa unamke hawezi kuwa na mapenzi nawe kamwe, atakuektia anakupenda ili apate huduma zako za kipesa mapenzi kwa wengine. Rule namba moja, Usimpangie hawara coz ukitoka tu kuna njemba inaingia kula mzigo, Rule namba mbili, Nipe nikupe habari za kufunguliana biashara au kujengeana nyumba sahau unless uwe umemzalisha. Golden rule, mchepuko usijue kama umeoa ukijua tu mapenzi kwishney...unatafutiwa msaidizi anapewa mzigo free of charge coz boya unalipia gharama zote. Ukweli mchungu
Ukweli mchungu ila unaponya mkuu hapo kuna vitu najifunza kupitia ushauri wenu.Lakini usipouambia mchepuko kuwa umeoa si atasumbua sana kupiga simu huku akijihisi yupo peke yake mwisho wa siku atakuharibia ndoa yako mkuu?
 
Back
Top Bottom