Kiendacho kwa mgema.....Mchepuko ni starehe kama unavyokwenda bar, kesho unaweza kuuliza kwanini kiti chako bar kuna mtu amekalia? Matatizo wengine mnajisahau mnafikiri mmeoa😛😛Mkuu nahisi kwa sababu mimi ndiye ninayemlipia hela na ya ile pango katika nyumba anayoishi na biashara ya duka nimefungulia .Lakini bado analeta kidume kwenye hiyo nyumba na kitanda nilichonunua mimi nahisi ndio kitu kinachoniuma roho.
Nyumba ile ninayoilipia ndio imeniuma zaidi ila angeenda naye kwenye lodge huko nahisi wala nisingeumia mkuu.Kiendacho kwa mgema.....Mchepuko ni starehe kama unavyokwenda bar, kesho unaweza kuuliza kwanini kiti chako bar kuna mtu amekalia? Matatizo wengine mnajisahau mnafikiri mmeoa😛😛
Sina ndoto za kuoa wake wawili mkuu hapa ni mwendo wa kuleana tu mkataba ukiisha ndio kama hivi kila mtu na hamsini zake hakuna mambo ya kugawana mali tulizochuma.Mchepuko unaulipia hadi Pango na kuufungulia Duka kabxa????? Bsi peleka mpk mahari uoe kabxa mzee!!!!!!! Maana hela ya Pango itakuja kuzid hata iyo mahari ambayo ungemtolea tu!!!!
Si ndiyo ninavyosema kulipa kodi kwa mchepuko ni kama kulipia kodi kiti cha bar, kama umependa kiti kinunue kiweke kwako. All in all pole sana. Mchepuku ni mzuri ukiwa unajitegemea na wewe anakupenda kwa upweke, kitandanda, na kusaidiana vitu dogo. Kugharamia mchepuko si tija.Nyumba ile ninayoilipia ndio imeniuma zaidi ila angeenda naye kwenye lodge huko nahisi wala nisingeumia mkuu.
Somo lako nimelielewa mkuu.Ukikosea katika maisha ndio unapata somo ili wakati ujao usirudie makosa.Si ndiyo ninavyosema kulipa kodi kwa mchepuko ni kama kulipia kodi kiti cha bar, kama umependa kiti kinunue kiweke kwako. All in all pole sana. Mchepuku ni mzuri ukiwa unajitegemea na wewe anakupenda kwa upweke, kitandanda, na kusaidiana vitu dogo. Kugharamia mchepuko si tija.
mwenye macho haambiwi tazama si muache jamani haya mambo kwani yana faida gani wakati yamejaa risk?hapo umemfuma hiyo siku na siku nyingine ukiwa na mkeo usiku je mangapi anayafanya na hivi hana mda nawe na wewe uko pale kama ndondocha wake ama chuma ulete.unajua kabisa umemwambia una mke yeye afanyaje na yeye ni binadamu anataka mume pia kama wewe unavyojimwayamwaya na mkeo na yeye uwe na heshima kwenye himaya yake akiwa anajimwayamwaya ndo mtaenda lakini ukileta wivu umekwisha.kuwa mpole tu kwa nyumba ndogo maana ni kama unafanya charity work tu.Nipe nikupe.Mwisho mpokee yesu akuweke huru mbali na tamaa za ulimwengi maana shetani hana jema na wewe naona.Mkuu umeongea pointi maana sasa hivi pesa ni ngumu sana halafu michepuko inazingua ila nimejifunza kitu kupitia hii issue mkuu.
Mkuu hii ni kama unasaidia huku nawe unapata kugegeda as long as ukitaka kula lazima na wewe uliwe.Watu "mnakolezwa"!!...Yaani haikutosha kuchepuka nae tu na nyumba kumpangia,ukaona umfungulie na duka kabisa??.
Hivi huwa mnaingiza "mwili wote" ama kitu gani hasa?.
Kwa unataka kusema nirudi tena mkuu ili niweze kufanya hizo za kufilisi?
Yesu hawezi kuniweka huru nilishatoka kwenye utumwa wa mtu mweupe kitambo sana so sitaki kurudi tena kuwatumikia watu weupe kwa sababu hata Yesu wako naye ni mweupe.mwenye macho haambiwi tazama si muache jamani haya mambo kwani yana faida gani wakati yamejaa risk?hapo umemfuma hiyo siku na siku nyingine ukiwa na mkeo usiku je mangapi anayafanya na hivi hana mda nawe na wewe uko pale kama ndondocha wake ama chuma ulete.unajua kabisa umemwambia una mke yeye afanyaje na yeye ni binadamu anataka mume pia kama wewe unavyojimwayamwaya na mkeo na yeye uwe na heshima kwenye himaya yake akiwa anajimwayamwaya ndo mtaenda lakini ukileta wivu umekwisha.kuwa mpole tu kwa nyumba ndogo maana ni kama unafanya charity work tu.Nipe nikupe.Mwisho mpokee yesu akuweke huru mbali na tamaa za ulimwengi maana shetani hana jema na wewe naona.
Kuna watu wananyota, mkewe anamiliki pete ya ndoa wengine wanamiliki maduka.Wanaume bana wakati mwingine sijui mmerogwa.
Hilo duka ungemfungulia mkeo si ingechangia hata nguo za watoto???
ni ushauri tu lakini endelea kutoa charity work uone mwisho wake ni unajikomoa mwenyewe maana huko unakodhani ni salama kwako ni kiza kinene usichokijua sasa sa hizi unaumia nini kama sio utumwa wa dhami unaoufanya unakusuta komaa maana usidhani utaenda kwengine ukapata malaika hahaha .mwisho wa siku anaeukwaa ni wewe wala si mchepuko.pole weeeeeeeeeee.Acha si tuwe watumwa sa hizi hatuumizwi na michepuko wala mchepuo.Yesu hawezi kuniweka huru nilishatoka kwenye utumwa wa mtu mweupe kitambo sana so sitaki kurudi tena kuwatumikia watu weupe kwa sababu hata Yesu wako naye ni mweupe.
Ila kwenye issue ya kuchepuka nitazingatia ushauri wako.