Wivu kwa mchepuko

Wivu kwa mchepuko

vitu ambavyo hutakiwi kufanya kwa mchepuko:
1. usijaribu kumlipia kodi ya nyumba mchepuko kwa kigezo kwamba muda wowote unapiga
2. usimfungulie biashara mchepuko ni bora ukaongeza mtaji kwa mkeo au ifanye familia yako kuwa na furaha.

Nimetaja hizo sababu kwasababu huwa ndio target za mchepuko,utakuambia kulipa kodi au kumfungulia biashara na mchepuko huwezi kuwa peke yako kuna watu wa kukusaidia pia na ku enjoy hela zako na kupikiwa misosi mizuri mizuri ukiyona siku unazimia..

NB: mchepuko huwa hautabiriki unaweza ukakutenganisha na familia yako mfano; kuwa na hasira za Mara kwa mara kwa mkeo mpendwa na watoto.,kurudi usiku sana

Mpende mke wako na familia yako hata kama unachepuka usifanye mambo hayo juu kwa mchepuko!! narudia tena usije ukafanya mambo hayo juu kwa mchepuko
 
Michepukoo aingizwee kwenye Rekodi za Dar....unadhani mchepuko hana wivu mwache awe Na mchumba kwani yy hapendi kuolewaa....Hata ulisema umfilisi haisaidii..mwache aolewe kama ulivyooa..halafu mchepuke..ngoma drooo
 
Kiendacho kwa mgema.....Mchepuko ni starehe kama unavyokwenda bar, kesho unaweza kuuliza kwanini kiti chako bar kuna mtu amekalia? Matatizo wengine mnajisahau mnafikiri mmeoa😛😛

Ha ha ha ha! It's like you are talking from experience.
 
Umfungulie kibanda umpangie nyumba
Hata ka nimchepuko roho lazima iume kutokana nagharama unazo tumia si unajua tena
 
Mara nyingi ndivyo ilivyo, kuwa unalipia kodi ya chumba/nyumba, biashrara umemfungulia, gari umemnunulia lakini bado kuna Msaidizi wako. Hapo wala usiwe mkali, endelea naye tu maana hata wewe ni mwizi hapo, huenda aliye kuwemo ndani ndiye mume mtarajiwa naye analipia hicho chumba na biashara kamfungulia.
mh hii michepuko iko na hela nyingi bila shaka!! unqpokea huku na kule afu maskini unakuta kwenye familiaza hiyo midume hali mbaya mwendo wa ugali mirungi(tembele). Mungu anawaona!!
 
Mkuu hiyo ni kawadi kabisa..tena unamlipia na kodi ya nyumba na duka umemfungulia? Roho inauma kwa pesa unazompa..Ila haitakiwi roho iume sana kwasababu nyie wote ni wezi na wazinzi...kama wewe una mke na bado uko nae sasa kwani kuna shida gani na yeye akiwa na mtu mwingine?.
Acha uzinzi bana.
 
Umejuaje mke hajafunguliwa Besti?
Mke wangu sio mama wa nyumbani ni mjasilia mali tena biashara zake ni mazao ya nafaka kwa huu msimu wa mpunga sasa hivi yupo huko Ifakara anasimamia uvunaji wa masahamba yake na kwa mataji wa mke wangu huyu mchepuko haufikii hata kwa mara kumi yake.
 
Back
Top Bottom