Kwani yeye kakataa kulizwa mwenzio ndo anasumbua sasa hivi au hujamuelewa hapo atakae umia ni mchepuko ilitakiwa mumponde huyo mdada mana alihifadhiwa kimaisha au unapenda aende kujipanga na yeye?Basi mkubali kulizwa tu
Ndio maana kanisani walituambia tutulie tungoje yule mume unaefunga nae ndoa, sasa kama hujui utamu mwingine zaidi ya kibamia utahangaikia wapi?Ukiwa na kibamia hata uhonge ghorofa, kusaidiwa ni lazima.
Wenye mipini pia kama hamko imara mjipange kusaidiwa.
Ndio.Kwa hiyo umeona mkewe ananjaa ya kukaa dukani?
piga chini huyo mtafute mchepuko mwingine......
Kwa hiyo kama mtu anakup furaha humsaidii maisha?vitu ambavyo hutakiwi kufanya kwa mchepuko:
1. usijaribu kumlipia kodi ya nyumba mchepuko kwa kigezo kwamba muda wowote unapiga
2. usimfungulie biashara mchepuko ni bora ukaongeza mtaji kwa mkeo au ifanye familia yako kuwa na furaha.
Nimetaja hizo sababu kwasababu huwa ndio target za mchepuko,utakuambia kulipa kodi au kumfungulia biashara na mchepuko huwezi kuwa peke yako kuna watu wa kukusaidia pia na ku enjoy hela zako na kupikiwa misosi mizuri mizuri ukiyona siku unazimia..
NB: mchepuko huwa hautabiriki unaweza ukakutenganisha na familia yako mfano; kuwa na hasira za Mara kwa mara kwa mkeo mpendwa na watoto.,kurudi usiku sana
Mpende mke wako na familia yako hata kama unachepuka usifanye mambo hayo juu kwa mchepuko!! narudia tena usije ukafanya mambo hayo juu kwa mchepuko
Kwani mkuu wewe ukiwa na uwezo simnamiliki wote na mkeo au inakuaje kwni?Sasa mkuu wife nae umemfungulia kiduka nae?
Kama hawezi kuka bila pa..chi awe anasafiri na mkewe.Hii option yako akifikiria investment mpya lazima kichwa kiume. Kodi nyingine, mtaji wa duka, furniture, halafu nauli tena ya kutoka Dodoma ha ha ha haaaaaaaa. Halafu sasa itabidi aongeze motisha wa ka Vitz! kazi kweli kweli mimi namshauri asitafute replacement mpaka Magufuli amalize muda wake! Mimi nimefanya hivyo bila shuruti!
hahahaa hapo kwenye red.....embu mpe mbinu mwenzio wazee wa michepuko.Hii option yako akifikiria investment mpya lazima kichwa kiume. Kodi nyingine, mtaji wa duka, furniture, halafu nauli tena ya kutoka Dodoma ha ha ha haaaaaaaa. Halafu sasa itabidi aongeze motisha wa ka Vitz! kazi kweli kweli mimi namshauri asitafute replacement mpaka Magufuli amalize muda wake! Mimi nimefanya hivyo bila shuruti!
Hawajui kua tukiacha michepuko wataadhirka sana alienacho hamjui mwenye njaa huyo mdada apo atachekwa mbayaaaa mtaani na huyo atajuta mbaya usijibu wee kula kimya hamia kwa mwingine wapo wengi wazuriiii hawana maishaBora umekuja kunitetea mkuu Manga ML
Anhalia sasa mwanzo mlikua manalalama ungewezesha mkeo hizo safari ni zamatembezi au na kawezeshwaDo kweli ndoa ndoano, wakati mke wako anasafiri anahangaikia familia wewe unapata mtaji wa kufungua madua. Fikiria huyo bi dada ni wangapi wazuri anaokutana nao lakini anajua anacommitment, au wenzetu definition yake bado hamjaielewa?
Waswahili hatuna salama waache walalameTunajifunza kutokana na makosa ila siwezi jua nadhani kwenye kipimo cha uaminifu kila mtu anajijua mwenyewe.Kusafiri kwake ni mimi ndiye niliyempa huo mataji pia sio kwamba alikopa bank au nilimkuta na hiyo biashara .Na mimi pia naendelea na kufanya kazi zangu ili kuongeza mfuko wa familia.
Hakumzia kua na bwana ndomana hamuamini hivi huoni upuuzi aliofanya huyo mwenzio?Hata ukipata usalama wa damu yake, ile wiki wewe uko na my wife wako yeye hujui yuko na nani.
Ujue Mpaka mtu achepuke kuna kitu anatafta cha kumridhisha mana kero za ndoa zisiporekebishwa shida mchepuko unajua Ku peti peti mno wote mnajiachia tu kwa raha bila stressDiva, Ukiwa na nia, then ukajikubali na kuwa na hofu ya Mungu, mbona utaweza tu..., ila mh unatetea sana uchepukaji Mkuu.
R Mbuna, una mke na mchepuko, mchepuko naye ana mchepuko ambao possibly nao una mke au mchepuko....... Hapo hatujahesabu kwa mkeo kipenzi ambaye huko safarini labda naye alitafuta "pa kupumzika" baada ya uchovu.... Tafakari!!!!!!kwa mchepuko wako kuchepuka katika nyumba unayolipia kodi ni dalili ya wivu au ni kujihisi umefanywa mjinga?
Kwa upuuzi kama huo kakubali kutunzwa ajitunze pia sio awe kama malaya tuNi kweli kabisa mkuu pia na magonjwa mnawasaidia kuyabeba na kuwaletea wake zenu.
Tatizo wengi wanatulia mpaka wanapoolewa ila baada ya kupata utamu halisi wa mara ya kwanza wanataka kujaribu na kwa wengine utamu uko vipi?Ndio maana kanisani walituambia tutulie tungoje yule mume unaefunga nae ndoa, sasa kama hujui utamu mwingine zaidi ya kibamia utahangaikia wapi?
Kama wanapatikana kibwege hivyo alikua anasubili nini mpaka kawezeshwa?Anaweza kupata wa kufunga nae ndoa, kheri kuliko janaba la mume wa mtu.
Na hakuna dini inayoruhusu kuangalia hizo filamu za ngono.Tatizo wengi wanatulia mpaka wanapoolewa ila baada ya kupata utamu halisi wa mara ya kwanza wanataka kujaribu na kwa wengine utamu uko vipi?
Filamu za ngono zinachangia kufanya wenza wachepuke kwani pale anaona saizi mbalimbali na mapigo yake pia.