Wito:Utaratibu wa Kutangaza nia,Uchumba na Ndoa hapa Jamvini!!

Dah kweli we noma....kila kona unaunguza majungu tu duh Mr Rocky naamua kumalizia hasira kwa Yummy


Sasa nisiseme
Au unataka niseme na kile kibano cha juzi kati hapa ulikipata baada ya kuopoa bibi wa mtu ukaishia kwenda kula kichapo
Kurudi kwa Remmy ukadai eti umeanguka na boda boda
Na je ulivyopoteza documents za ofisi wakati unaparurana na mdada wa pale mtaani kisa alikunywa bia zako na akakataa kwenda na wewe ukaishiwa kuchaniwa documents za ofisi ukasingizia umefukuzwa na vibaka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom