Wito:Utaratibu wa Kutangaza nia,Uchumba na Ndoa hapa Jamvini!!

achana na story za kusadikika, tuachike kwani tunaogea ngama??? tupo gado kama kwanza ebo! Asprin kuja hapa hubby ufafanue hii makitu!
Ngoja nikachukue petroli tumtie kibiriti..... au wamwonea huruma?

168174_195549717125894_100000126027936_826015_5044730_n.jpg
 
Aka sitaki miyee.
Remmy wacha zako za sitaki nataka bana
Nitakununulia vogue na BMW na nitakujengea nyumba kama ile ya mama mchungaji wa pale mikocheni
halafu nitakupeleka kupumzika kwenye visiwa vya malta
 
Last edited by a moderator:

Mie sidanganywi na mavitu.
Nadanganywa na Moyo. Moyo wangu ulishakufa ganzi kwa ErickB52.
 
Ngoja sasa nikupe siri Erickb52 yuko kwa small hausi yake huko na nguzo zimelowekwa hata kutoka nje anashindwa huku kakudanganya yuko kwenye semina ya neno la Mungu
Moyo wangu umekudondokea wewe sasa nifanyeje
na hapa tunaongea wawili tuu Erickb52 hayupo
 
Hata kama anao wengi, Moyo wangu hautosita kumpenda.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja sasa nikupe siri Erickb52 yuko kwa small hausi yake huko na nguzo zimelowekwa hata kutoka nje anashindwa huku kakudanganya yuko kwenye semina ya neno la Mungu
Moyo wangu umekudondokea wewe sasa nifanyeje
na hapa tunaongea wawili tuu Erickb52 hayupo
Dah kweli we noma....kila kona unaunguza majungu tu duh Mr Rocky naamua kumalizia hasira kwa Yummy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom