LioneeeeeWote walevi hapo tehe tehe!
Kamtafute mwingine.
hatafuwti mtu hapa wala haondoki mtu hapa
mpaka kieleweke
Yaani mie ndo mnipe sekta isiyo na ulaji? Kwani mnatoa sadaka kwenye maombi? Msinitanie
hyo kamati ina wajumbe wanaovizia wake za watu humu.
Tunataka tume huru.