Wito:Utaratibu wa Kutangaza nia,Uchumba na Ndoa hapa Jamvini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito:Utaratibu wa Kutangaza nia,Uchumba na Ndoa hapa Jamvini!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Baba V, Aug 23, 2012.

 1. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wadau kutokana na kuibuka kwa wimbi la wanajamvi kutangaza nia na ndoa kila leo hapa jamvini, nimeona ni vema kuwe na utaratibu mzuri ambao utakubalika wa mtu kuufuata ili kuepusha mgongano wa kimaslahi unaoweza kuleta mtafaruku miongoni na baina ya wadau, napendekeza utaratibu wa kutangaza uchumba au ndoa upitie kwenye tume huru ya mahusiano ya wanajamvi,tume hii itaratibu na kuhakikisha kuwa wanaoingia kwenye uhusiano watakuwa salama bila vitisho vya mgongano wa kimaslahi, nadhani wote tumeshuhudia Uhusianm kati ya Charminglady na MtotoSix huku wakati ndo sasa nae anaugua juu ya Charminglady, Ronn M kwa Jeneneke ilhali babu Asprin anadai uhusiano sio halali eti kwa sababu alikuwa bado hajamkagua Jeneneke kama anafaa kuolewa na mjukuu wake au la! sasa tume ndo itakuwa na jukumu la kuhakikisha kuwa vigezo na masharti vimezingatiwa ili waingiao kwenye uhusiano wasikumbane na mizengwe na uhusiano wao uwe na baraka za tume kwa niaba ya wanajamvi wote,wajumbe wa tume ni hawa wafuatao:
  1.Mamdenyi na Erickb52, hawa watakuwa Matron na Patron respectively,yeyote anayeingia katika uhusiano lazima awaone hawa kila mmoa(ME kwa Erick, KE Mamdenyi) ili watambue rasmi uhusiano huo.
  2.BADILI TABIA, Kongosho,Kaizer na Bishanga itakuwa ni Screening commitee, hawa watamfanyia screening mwanajamvi anayeingia kwenye uhusiano kuhakiki kuwa hayupo kwenye uhusiano na member mwingine
  3.ruttashobolwa,Preta na Judgement mtakuwa kwenye kamati ya sheria,mtaandaa utaratibu wa kisheria ili kama kuna vigezo vya kisheria vitahitajika kuwekwa basi viwekwe
  4.zomba na St.Paka Mweusi mtaandaa vigezo vya kidini ambavyo member atapaswa kuvitimiza kabla hajachumbia/kuchumbia.
  5.Platozoom,Eiyer,YoungMaster na Asha Dii mtaratibu usajili wa uhusiano mpya na kuja kututangazia hapa jamvini baada ya wapenzi/wachumba kukidhi vigezo na kupita hatua zote kwa mujibu wa tume, pia mtatutangazia uhusiano au ndoa zilizovunjika ili tuyajue 'Majimbo huru'
  Tume inaanza kazi rasmi leo na uhusiano wowote utangazwe kwa kufuata utaratibu huo. uhusiano wowote utakaotangazwa nje ya utaratibu huo utakuwa ni BATILI.
  NAWASILISHA
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  HUYO ZE SO CALLED "PATRON" NI KICHECHE BALAA...
  kesi ya nyani kwa tumbili...haiwezekani.!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Baba V me na MtotoSix tushamalizana na walioleta mizengwe so kila kitu kipo sawia. hivyo huo wito hautatuhusu! asante
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mna bahati kwa kuwa inaanza kutumika leo,ila ninyi ndo mmechangia kwa kiasi kikubwa kuanzishwa kwake!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hivi eeh! lakini atafanya kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni!
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Baba V,
  naomba umtoe mume wangu ruttashobolwa kwenye hiyo tume yenu.
  Mwacheni apumzike jamani khaaa!!!
  Mpeni Mabere Marando wa Jf.
  Acha tujilie raha bhana,we vipi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Na mimi na Mamndenyi wangu tulishamalizana yuko hapa Arusha ndiyo amemaliza kunipa breakfast. So remove her name quickly.
   
 9. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mh!!! hii kama maigizo!!
   
 11. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135

  upo mpendwa?
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Baba v , the plan you formed on you're mind purposely it's a good conception with nice idea too! Bt mimi ningehitaji further explaination, about this idea of creatin "probe commission" mwanzoni kwenye headin yako umetumia neno "unatoa wito" and then mwanzoni mwa thrade yako ukatumia neno "unapendekeza" that probe iwepo. Sina tatizo na mapendekezo wala wito!
  Tatizo linakuja pale inapojionesha tayari that tume already lauched na effective today!
  Mi nadhani wito na pendekezo ungevitupa jamvi kwanza then members wakavi'agree ingekua tamu zaidi, ikapatikana ridhaa ya wana-wa-jamvi.
  Coz yawezekana mapendekezo yako ya uteuzi wa walio kwenye tume yakatolewa pingamizi n.k .
  Rai yangu ni hiyo tu kwamba before declare resolutions , first propasal ipate baraka ya members
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ninakubaliana na hili wazo naomba kujua utekelezaji utaanza lini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Ushauri mzuri mkuu,nitaufanyia kazi mapema iwezekanavyo!
   
 15. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hii yote ni propaganda kuhakikisha wanyonge hawapati vitu vizuri vizuri, kudadadeki tutakula sahani moja...na sisi vizuri tunavitaka
   
 16. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha BAGAH umeniwahi kidogo ......kweli patron hajatulia so mie siungi mkono hoja!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheee majungu tu yamekujaa mtoto wa kike....tatizo roho ya korosho iko na wewe sweetlady lol
  Ndoa zinavunjika zenyewe mi naangaliaga tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umeshindwa kuisuluhisa ndoa yangu na nitonye mpaka nikaangukia mikononi mwa Vin Diesel lol.....wewe lazima utolewe hata BAGAH amepinga kuteuliwa kwako!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...