Wito kwa Miss Neddy

Wito kwa Miss Neddy

miss neddy, please badili avatar yako mama......please

ni maoni yangu binafsi, sijatumwa na mtu

hata hivyo, kama kuna wana CC wananiunga mkono basi na wa reply hapa:coffee::bored::coffee::coffee:
Tyta hebu saidia avatar nzuri kwa huyu Miss

kijana umeingia kwenye empire ya simba dume asiyefugika! unanibip eenh?:cell:

ngoja nikutafutie vijana wakufanyie kazi..
 
hahahahahaha hako katoto ni ndugu yako asieijua kesho yake hana mwingine wa kumkomboa isipokuwa mimi na wewe

Excel kagoma bwana naogopa kumuuzi nikibadili
ahsante mama! you are the best in here!

no body can stop us now!

enjoy this now!



watuwacheeee!!
 
Last edited by a moderator:

mamii hebu kula kwanza hii kitu!

kula mdogo mdogo!

220px-Grapes.jpg
 
mamii huna haja ya kuogopa! mbona hawa mabazazi wamembeba mzobemzobe angel? we waache tu.. mpaka leo sijui alipo!

wamempeleka wapi sasa ina mana akirudi na mimi utaniacha solembaaaaaaaaaa
 
Kwani kakangu umemtosa jumlajumla??

habari za asubuhi amua!? or sorry, amu? unajua jina langu lina some kinds of somethigns inside!

who are you talking about here? who is that brother of yours?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom