Wito kwa Miss Neddy

Wito kwa Miss Neddy

Mimi nikiwa kama paroko wa MMU nimeamua kumchagulia hii

images


Paroko mwenzangu wa Chit-Chat naomba baraka zako!!

hii hapana itanikaribishia mitongozo tu wakati me nawaza deni la taifa mgao wa umeme majanga ya barabara za mwendo kasi zinavyozidi kuongeza tatizo kwa kusababisha foleni kwa sisi wakazi wa mbezi luis ohooooo may be baba riz atapita hapa auone ujumbe wangu one day
 
yaani ukiwategemea hao ni sawa na mtu amtegemee mwanadamu...utakuwa umelaaniwa....au akili sio nzuri,,,siku hizi kila mtu tu anajifia kivyake vyake...forget about them

how can you forget about them Kaizer ujifie kivyako kama hukupiga kura vinginevyo ni haki yako kudai mabadiliko kumbuka hapa hatumtegemei mwanadamu wa kawaida bali tuliempa mamlaka na uongozi wa kutufikisha nnchi ya ahadi

kama .musa alivyokuwa anategemewa kuwaongoza wana wa israel nasi tuna haki kuitegemea serikali ituboresheee maisha yetu
 
Last edited by a moderator:
mhhhhhhhhhi inakupa stress kivip mkuuu

hako katoto...walau ungekuwa unakaa siasani moja kwa moja afadhali, mimi huwa siendi sana huko

do me a favor (na paroko Eiyer afurahi pia) please
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hako katoto...walau ungekuwa unakaa siasani moja kwa moja afadhali, mimi huwa siendi sana huko

do me a favor (na paroko Eiyer afurahi pia) please

hahahahahaha hako katoto ni ndugu yako asieijua kesho yake hana mwingine wa kumkomboa isipokuwa mimi na wewe

Excel kagoma bwana naogopa kumuuzi nikibadili
 
Last edited by a moderator:
Sasa Miss Nerdy atoe hio aweke ipi? Hao wa hivyo si ndio wanejaa mitaani!? Big up ila mkomao ni sasa wala si 2015
 
Sasa ndio tukomae nao hasa! Wabongo tuamke, tuachane na vitisho eti ooo vita, upinzani wataleta machafuko!! Bullshit magamba waache kudanganya innocent minds
 
miss neddy ni mpenzi wangu mimi!

Mimi ndie certified user wa huyu mrembo!

Wewe unakuja kuanzisha uzi hapa una interest gani nae?

Aisee mtuwache tulale!

Kwanza leo nimepewa assignment na huyu mrembo! Naifanya nikiwa ....! Teh! Mtuwacheeeeeeeee!

taratibu Excel mbona unamwaga mtama kwenye kuku wengi tenaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeeeh na mdeni akishindwa kulipa dawa ni kugoma kumkopesha tena lini next year october

Ukimkopehsa si anaendeleza dhuluma........, bora huo mkopo kumpa mtu mwingine

may be yeye anaweza kulipa kwa wakati
 
Back
Top Bottom