With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Ebu toa ushauri wa buree nini kifanyike mana nikikata kifanyio ntakuwa nimemwonea sana
Sio utakuwa umenionea mimi au umejionea mwenyewe?
Kata ile kwako Chocs sijui nini kitakuwa kinakuliza usiku hahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sasa mpenzi unachukia nini?
Si tumeambiwa tupendane jamani?
Kwani kumpenda mwanadamu mwenzako ni kosa?
Au umetufumania?mh nawewe bby una wivu sana jamani lol
Haya nafuta kauli eeeeh
Mwaaaaaah
Love you so much mke wangu Chocs
 
Last edited by a moderator:
Sio utakuwa umenionea mimi au umejionea mwenyewe?
Kata ile kwako Chocs sijui nini kitakuwa kinakuliza usiku hahahaaaaa
Hahahahahahahahha....sikua nimecheka siku nzima...heheheheeh
Siwezi kukikata mpenzi si unajua tena mambo yetu yalee
 
Hayo ndo maneno ya kunambia mume wangu,mwaaah
Sasa mpenzi unachukia nini?
Si tumeambiwa tupendane jamani?
Kwani kumpenda mwanadamu mwenzako ni kosa?
Au umetufumania?mh nawewe bby una wivu sana jamani lol
Haya nafuta kauli eeeeh
Mwaaaaaah
Love you so much mke wangu Chocs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom