With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Erickb52 maji ya kuoga tayari twende nkakuogeshe

Jamani mpenzi asante sana...!
Kwa ninavyokupenda niko tayari hata kuacha nyumba zote kubwa na ndogo zote kwa ajili yako Arabela
Kwanza imeniuma kuona unatapatapa hadi unahamia Zantel (kwa nitonye ) imeniuma sana mpenzi.

Haya tuyaache twende tukaoge love.

Copy kwa Kaizer nitonye
 
Last edited by a moderator:
siku zote nilikuwa najihisi kama nimepungukiwa kitu,mpana nikawa naenda kuomba ushauri kule jf doctor nikizani pengine naumwa kumbe nilikuwa nimekumic mkuu Erickb52 kaka mkubwa sasa naweza kula na kunywa...

 
Last edited by a moderator:
Slave mambo vipi,
unataka kufuturu?

 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…