Hahahaaaaa nahisi alikuenda ukajifanya hujui akaamua kukuchukia mazima...siunajua tena anahisi ulimtesa sana hadi akaamua kukimbilia kwa Vin Diesel
Hahahaaaaaaa nakumbuka wakati tuko shule binti mmoja alinyang'anywa kitabu na jamaa then jamaa akakimbia sasa yule binti akataka kumwambia "Samweli tutagombana" akakosea akasema "Samweli tuta***mbana"Ha ha haahaahahaaaah!!! Ile imekuwa kama wimbo wa taifa hapa ofisini......
Duh Mentor asante...ngoja nikuje hapo chap walau nionekane mtoto kweli maana haya mandefu lol utadhani mbabuHappy birthday to you, u live in a zoo, u loook like a monkey, u smell like one too!!! How old are you now, we bought a new cow, it keeps mooing mooo, like u r doing now!!! Enjoy the day hommie...njoo Kwetu barber k'mboni nkupe ofa ya manicure, pedicure, na kila kitu!!!
Ha ha ha haaaah!! Imefutwa kwenye hansard usihofu....Hahahaaaaaaa nakumbuka wakati tuko shule binti mmoja alinyang'anywa kitabu na jamaa then jamaa akakimbia sasa yule binti akataka kumwambia "Samweli tutagombana" akakosea akasema "Samweli tuta***mbana"
Heheeee nafuta kauli
Teh ila ukiwa na ugomvi na anayefuta kwenye hansard anaiacha aisee kukukomoa lolHa ha ha haaaah!! Imefutwa kwenye hansard usihofu....
Dah sasa usianze ugomvi mke wangu lolAmyner harudi tena. Mie ndo nimechukua usukani naendesha jahazi...
Madame B natangaza vita na wewe kuanzia sasa.
ThanksThank you! Kwa kunikubali
I promise I won't let you down.
Thanks
Take care.....achana na wazushi na wambea(Wanajijua)
Kama inawauma kunyweni sumu ya panya
Shhhhiiiiiiiii Madame B, usiseme kwa sauti hapo watoto watasikia.... Hebu kam zis wei kwanza tutete kidogo.