Hanywi pombe...havuti sigara...

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,328
23,879
Mh..nipo ofisini kazi si nyingi kivile,
Tunapata early tea hapa niko na immediate bosi wangu na wadada wawili..

Topic of discussion: Mdada huyu mmoja ana mume yu masomoni Dodoma. Sasa wanamuuliza kama huwa anakuja akasema mara chache chache maana masomo yamebana. Wakaanza kumuambia anaibiwa. Then huyu mdada mmoja akamuuliza, "Mumeo ni mlevi au anavuta sigara?"
akajibu hapana...basi ndo kabisaaaa...waka-conclude anaibiwa!

Sasa jamani, hivi kuna ukweli kiasi gani kama mtu si mlevi na si mvutaji basi anapenda chini!??? They seem to be so convinced about it..

Mi nashangaa mbona babu Asprin, shem Kaizer, kaka et al ni walevi ila chini wanapenda sana...kuna ukweli kiasi gani!??
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sijawahi kufanya research,lakini watu wengi hudai kuwa lazima mwanaume awe na ulevi mmoja wapo,lakn mimi huwa naona watu wengi wakilewa ndio hutaka wanawake,tabia hii anayo sana junior .Cux , Bishanga , erick52 , na Plantozoom kwa wanawake pia wakilewa huwang'ang'ania wanaume,wenye tabia hii ni kama Kongosho , FirstLady1 , shemeji yangu Kijino , CANtalista japo sio sana, charminglady tena huyu anaweza kukubaka akilewa kaanae mbali mita 100.Natoa tahadhari kwa wanawake watakao kuwa karibu na junior .Cux akiwa amelewa yatayo wakuta mtajua maisha
 
Last edited by a moderator:
Napita, niko mitaa ya mbele.

huwa najiuliza sana,pombe hunywi lakin bar unakaa mpaka saa 9 usiku na soda moja ya fanta,huwa unangoja nini?......haka katabia kwako kamekua sugu sana na umri ndio unaenda hivyo utakaacha kweli!
 
Mentor i believe that 99%, at least awe anakunywa hata wine glass kadhaa, or bia 2, 3. ila yule ambaye hanywi kabisa anarudi ananuka fanta saa 7 usiku, pole kwa wahanga wote! ulevi wao unakuwa chini, yaani nina mifano mingi mno, na vilio vya marafiki zangu kulalamika kuwa wana wish wangepata at least anayeonja!
 
Last edited by a moderator:
Yaani mie nikipata wazo la kwenda bar tu, pichu inadondoka chini, navaa na kimini.

Hii husaidia promotion hasa ukiaa kaunta na kitu cha kuzunguka zunguka, unakuwa unawageuzia walio kwenye vimeza vidogo kwa ajili ya show room lol

Mjini fomu foo ya div foo
 
hii hali madada zetu ndo wanaamin sana eti mtu kama hanywi pombe/mlevi basi ni mzinzi. ndo maana wanapenda kuolewa na mtu asiye tumia kilevi chochote kwa iman ya kwamba atakua na mda mrefu wa kukaa na mpenzi wake wakila malove kila saa. Tofauti na mlevi ambaye yeye pombe anazigeuza ndo mke hata akirudi analala na viatu achilia mbali suruali. kumbuka hawa viumbe wanapenda sana chini ila hawasemi tu. mia
 
teh,teh,teh.....nimemlipua mmoja hapo utachek atakavyo jibalaguza hapa
 
Last edited by a moderator:
Kunywa bia kwa maendeleo ya Taifa. Afu we Mentor hawa kinamama walivyo wengi tusipojitahidi kuwahudumia unataka watumie magunzi.

Wapiga bia chini tunapapenda lakini wasokunywa wanapapenda zaidi. Jina la ngono liheshimiwe.
 
Last edited by a moderator:
hii hali madada zetu ndo wanaamin sana eti mtu kama hanywi pombe/mlevi basi ni mzinzi. ndo maana wanapenda kuolewa na mtu asiye tumia kilevi chochote kwa iman ya kwamba atakua na mda mrefu wa kukaa na mpenzi wake wakila malove kila saa. Tofauti na mlevi ambaye yeye pombe anazigeuza ndo mke hata akirudi analala na viatu achilia mbali suruali. kumbuka hawa viumbe wanapenda sana chini ila hawasemi tu. mia

kuna mtu kama Preta yeye ukimwacha ndani ukaenda kunywa na yeye huku nyuma anaondoka,mwanamme unarudi sa tisa yeye alirudi saa nane,amechoka kwa kuchakachuliwa na wewe umechoka kwa pombe hapo nan mwaminifu,aliaga anaenda kunywa au aliye toroka kwenda kuchakachua.teh,teh,te,
 
Last edited by a moderator:
Yaani mie nikipata wazo la kwenda bar tu, pichu inadondoka chini, navaa na kimini.

Hii husaidia promotion hasa ukiaa kaunta na kitu cha kuzunguka zunguka, unakuwa unawageuzia walio kwenye vimeza vidogo kwa ajili ya show room lol

Mjini fomu foo ya div foo

nilikuona j2,nikapiga chabo kidogo mara nikaona kitumbua kimevimba ile kufika j3 wacha niugue kisa nimeona kitumbu...ha,ha,ha,...je ningekila?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom