Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

Wishing you a Happy Birthday @Erickb52

sweetlady.....Nitamuharibia siku yake bureeee!! Ngoja kesho, leo mwache afurahie siku yake..Ila kesho mapemaaaa naondoa pongezi zangu!!!
Unajua hata huku kuna mchango sana kwa taifa sema tu hamjalijua hilo....
Huku ndio tunawasaidia kutuliza stress zenu za kule kwa siasa bila sisi lazma mngekuwa mnachanganyikiwa sana
Hapa ni Stress free zone!
 
Heheheee Rejao kule nakujaga kusoma tu then nakuja zangu huku kwenye raha
Kule bhana nilionekana siku ya NSSF tu lol nilikuwa moto mbaya ndio mana napakwepa sana!
Mi ni mkazi wa kudumu wa Chit Chat kule kwako na Ritz
hahahaha...uwe unakuja siku moja moja kutusabahi bana!! Haya King wa chit chat....
Ni chit chat tu au na MMU!!
 
Unajua hata huku kuna mchango sana kwa taifa sema tu hamjalijua hilo....
Huku ndio tunawasaidia kutuliza stress zenu za kule kwa siasa bila sisi lazma mngekuwa mnachanganyikiwa sana
Hapa ni Stress free zone!

Hivi eeh?
 
sweetlady.....Nitamuharibia siku yake bureeee!! Ngoja kesho, leo mwache afurahie siku yake..Ila kesho mapemaaaa naondoa pongezi zangu!!!
Hahahaaaaaaaa hata hivyo ntakuwa nshaenda kwa honeymoon ba bibie wangu....siunajua alikuwa busy na leo ndio kajitokeza so lazma nkakumbushie enzi zetu
 
hahahaha...uwe unakuja siku moja moja kutusabahi bana!! Haya King wa chit chat....
Ni chit chat tu au na MMU!!

Hahahha chit chat na jukwaa la wakubwa lol !
 
hahahaha...uwe unakuja siku moja moja kutusabahi bana!! Haya King wa chit chat....
Ni chit chat tu au na MMU!!
Heheheeee pia na kajukwaa ka wakubwa huwa napita kidogo lol
Kule kuna wenyewe akina Rungu na mwenzake
 
Last edited by a moderator:
hatujambo tupo salama kabisa,ndio tunakuandalia zawadi yako na tutaileta kwa pamoja
Safi sana nawangoja.....
Hakikisha unapaka wanja vizuri eeeeh mtoto anaweza akakupenda eeeh ukaondoka nae eeeh
 
Hebu inuka kidogo, Chungulia nyuma kbs ya ukumbi kwenye kona ya kushoto,
kuna robot limesimama linakungojea wewe likakuogeshe ukitoka hapo.
Asprin kaenda kutafuta cable ndefu maana umeme kwa jirani!
 
Last edited by a moderator:
Nani anataka mastress bana! Maisha yenyewe mafupi haya cha kutoleana mimacho na mipovu kwa mtu nisiyemjua itanifaa nini??
Hahahaaaaaa babuuuuuuu
Niletee Kipipi na CUTE hapa nijiachie mtoto mdogo mie
 
Last edited by a moderator:
Nani anataka mastress bana! Maisha yenyewe mafupi haya cha kutoleana mimacho na mipovu kwa mtu nisiyemjua itanifaa nini??
Ukitaka kuwa kidume kweli lazima ukubali kupigwa matukio...!!! unaenda kuzichukua stress kule then unakuja kuliwazwa na warembo wa chit chat na MMU!!
 
Hebu inuka kidogo, Chungulia nyuma kbs ya ukumbi kwenye kona ya kushoto,
kuna robot limesimama linakungojea wewe likakuogeshe ukitoka hapo.
Asprin kaenda kutafuta cable ndefu maana umeme kwa jirani!
Hahahaaaaa sitaki robot
Kwanza acheni kuringa ameshakuja mwenyewe (Amyner ) so kama vipi atanigesha we na wenzako endeleeni kuandaa sherehe na maunywaji lol
Utaambatana na mzee nani? Ruhazwe JR au
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom