Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,506
- 5,097
😀 😀 😀 😀 😀 😀Kamanda mzima unaogopa wingu kubwa na radi, utaweza kuandamana kweli tarehe 26/4?!.
😀 😀 😀 😀 😀 😀Kamanda mzima unaogopa wingu kubwa na radi, utaweza kuandamana kweli tarehe 26/4?!.
HahahahahahhahhaKamanda mzima unaogopa wingu kubwa na radi, utaweza kuandamana kweli tarehe 26/4?!.
Mwendokasi inaanza lini kujengwa jamani, maana nako huko usafiri shida. Karibu MajimatituWakuu kuna wingu kubwa sana na radi za hapa na pale huku Mbagala naomba tupeane updates kupitia uzi huu
Nice oneHahahahahahhahha![]()
Da mange kasemaje?Mimi sikai huku nilikuja mara moja nina ishu zangu nafuatilia, wamekata umeme
Tulinyeshewa na mvua baharini tu kufika baggage room hakuna mvua, jua linawaka, mabasi ya kazini hayana mafuta, hivyo tukapande daladala halafu tunavuja maji nguo zote chapachapa, unapanda daladala watu wanakushangaa, sitoisahau hiyo siku [emoji1] [emoji1] [emoji1]mvua ya dsm ya ajabu.
inaweza kunyesha kwa jirani kwako haipo.
hapa nilipo imepiga mvua ya kufa mtu, klm chache tu kwa mbele hakuna hata tone.
ila kufika kkoo mvua kufa mtu...
Hiyo ndio Sinza, kaka yangu alitumbukia chemba zake zilikuwa badoSinza naona msimu wa kufungulia chemba umefika sasa!
Wajanja wamekula hela yeye kabebwa akasikilize hotuba bila kula, nibaki kuwa mtanzania tu inanitosha na ninakuwa huru kutoa maoni yangu pale ninapoamua mimiHahahahahahhahha![]()
Ha ha ha najua mkuu nzuri zikiwa kavu Zikiloa haina swaga tenaNilighairi nikarudi nyumbani naogopa sana mvua,
Si unajua hizi nywele zetu [emoji6] [emoji6]
Imenigusa na nini mkuu??hahahahahahahaha......naona imekugusa