Wingu kubwa na mvua huku Mbagala

Wingu kubwa na mvua huku Mbagala

mvua ya dsm ya ajabu.
inaweza kunyesha kwa jirani kwako haipo.
hapa nilipo imepiga mvua ya kufa mtu, klm chache tu kwa mbele hakuna hata tone.
ila kufika kkoo mvua kufa mtu...
 
Kawe giza limeanza saa hiz ila mvua haijaanza kudondoka.
Hii hali ya hewa sema inanihamasisha kunywa Heineken hadi basi. Naendelea kuishinda hii nguvu ya kunitaka ninywe saa hizi.
 
Mwisho wa dunia...
Anza kutubu.....
Bt mbezi luis huku hamna kitu...
Joto kali sana mpaka watu wamevua nguo si wa kike si wa kiume....
Mbezi luis hipi mkuu
273d6340f55e5628be39cefea777ed1c.jpg
 
Kamanda mzima unaogopa wingu kubwa na radi, utaweza kuandamana kweli tarehe 26/4?!.
hahahahahahahahahahaah alafu nadhani hiyo tarehe 26/04 itakuwa ni vema na haki kama kwenye hayo maandamano kwenye mstari wa mbele atakuwepo Mbowe na familia yake, Mnyika na familia yake, Lowassa na Familia yake, Mage Kimambi, Halima Mdee na sumaye na familia yake alafu wale makamanda wa bodaboda na machinga wafuatie kwa nyuma sio kila siku wao wawe mstari wa mbele
 
Fungulia threads usivuruge ya mwenzako
Tupo tunapashana kuhus mvua wewe unaleta siasa???
Ama kweli siasa haikwepwki
 
Mbezi Luis, Luguruni na St. Joseph mvua imenyesha kubwa sana, hadi Kwembe hali ni tete, Dar mvua kidogo tu ni majanga.
 
Back
Top Bottom