Wingu kubwa na mvua huku Mbagala

Wingu kubwa na mvua huku Mbagala

tanesco ina maana mvua ikinyesha siku 3 n wananchi wakae na giza siku zote izo.. rudishen umem bana achen zenu.
 
Baraka hiyo. Huku kwetu Verkhoyansk ni baridi ya kufa mtu, -16 degree. Nimeongea na msimamizi wa mashamba yangu yapo Mkuranga anasema hakuna mvua2,wadau ni kweli?
 
Baraka hiyo. Huku kwetu Verkhoyansk ni baridi ya kufa mtu, -16 degree. Nimeongea na msimamizi wa mashamba yangu yapo Mkuranga anasema hakuna mvua2,wadau ni kweli?

Atakuwa anakupiga changa la macho kama ulimtumia hela ya kupandia ujue anataka kukupiga
 
Kawe giza limeanza saa hiz ila mvua haijaanza kudondoka.
Hii hali ya hewa sema inanihamasisha kunywa Heineken hadi basi. Naendelea kuishinda hii nguvu ya kunitaka ninywe saa hizi.
Kunywa tu mzee baba
acha woga.
 
Kama unaogopa kunywa uji wa mhogo usio na chumvi
 
Wakuu kuna wingu kubwa sana na radi za hapa na pale huku Mbagala naomba tupeane updates kupitia uzi huu
Mkuu mi nipo kingugi huu mziki kama awamu iliyopita ndo najiandaa kutoa vitu nje nshachoka hasara ntarudi msimu ukiisha naenda mbezi ukweni.
 
Mkuu mi nipo kingugi huu mziki kama awamu iliyopita ndo najiandaa kutoa vitu nje nshachoka hasara ntarudi msimu ukiisha naenda mbezi ukweni.
Pole sana mkuu
 
hapo dar, mmeambiwa mtubu mkang'ang'ana kuombewa, mi ngoja niwaombee ishuke mvua nzito ya mavi! maana hamna namna!
Huwezi ombewa bila kwanza kutubu maombi ya mwenye haki upokelewa,maana hakuna siri chini ya jua.
 
Hili wingi limekata network zote za UDART/BRT, mabasi yote leo "Sorry out of service" sasa hawajabandika hata maandishi kuonyesha hili basi linaelekea wapi na je ni Express? dereva nae kutangaza mzito ni kuingia na kutoka taabu tupu. Bandikeni bna maandishi na ondoeni hayo mabasi hapo jangwani mvua ndo zinaanza.
Mvua zimeanza inabidi wayahamishe wayatoe kwenye mkondo wa MAJI pale,yasijeyapiga shoti.
 
Uzi wa watu wa Dar, ngoja nifungue uzi wa watu wa mikoani
 
Back
Top Bottom