Wingu kubwa na mvua huku Mbagala

Wingu kubwa na mvua huku Mbagala

hapo dar, mmeambiwa mtubu mkang'ang'ana kuombewa, mi ngoja niwaombee ishuke mvua nzito ya mavi! maana hamna namna!
 
Hili wingi limekata network zote za UDART/BRT, mabasi yote leo "Sorry out of service" sasa hawajabandika hata maandishi kuonyesha hili basi linaelekea wapi na je ni Express? dereva nae kutangaza mzito ni kuingia na kutoka taabu tupu. Bandikeni bna maandishi na ondoeni hayo mabasi hapo jangwani mvua ndo zinaanza.
 
Nimekuja huku kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi kama mvua
IMG_20180301_095257_585.jpg
 
Wakuu kuna wingu kubwa sana na radi za hapa na pale huku Mbagala naomba tupeane updates kupitia uzi huu

Huyu Jimboni kwa Halima Mdee nilipo kuna Jua tena Kali tu na wala hakuna chochote angani labda hiyo hali inatuvutia Kasi.
 
Back
Top Bottom