MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Wakuu kuna wingu kubwa sana na radi za hapa na pale huku Mbagala naomba tupeane updates kupitia uzi huu
hamia sehemu ingine kusiko na mawinguWakuu kuna wingu kubwa sana na radi za hapa na pale huku Mbagala naomba tupeane updates kupitia uzi huu
Mimi sikai huku nilikuja mara moja nina ishu zangu nafuatilia, wamekata umemehamia sehemu ingine kusiko na mawingu
Hawajaridhika na damu yote hiyo waliyomwagaMnatolewa kafara
Huko kwa kweli sijuiIla kambi ya jeshi wako salama na yale mabomu yao?
Mbagala kuuHuko kwa kweli sijui
Bado wana kiuHawajaridhika na damu yote hiyo waliyomwaga
Kamanda mzima unaogopa wingu kubwa na radi, utaweza kuandamana kweli tarehe 26/4?!.Wakuu kuna wingu kubwa sana na radi za hapa na pale huku Mbagala naomba tupeane updates kupitia uzi huu
Hata huku msata hali ni hiyo hiyoWakuu kuna wingu kubwa sana na radi za hapa na pale huku Mbagala naomba tupeane updates kupitia uzi huu
Nimekuja huku kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi kama mvuaKamanda mzima unaogopa wingu kubwa na radi, utaweza kuandamana kweli tarehe 26/4?!.
Ndo nilikua naelekea huko!Mvua inanyesha pwani kuanzia vikindu mkuranga mpaka kimanzichana huko..
Nikitoka hapa naenda kutubu mimi sio mbishi na sina visasi kama yule sizonjeMwisho wa dunia...
Anza kutubu.....
Bt mbezi luis huku hamna kitu...
Joto kali sana mpaka watu wamevua nguo si wa kike si wa kiume....