mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,996
Habari Zilizo Nifikia Punde Ni Kuwa Mbunge Wa Mufindi Kusini KIGOLA 0755029323 Ameandaa Maandamano Ya Kukata Na Shoka Kesho Kushindikiza Malipo Kwa Walio Kuwa Wafanyakazi Wa SPM, Wafanyakazi hao wanataabika kwa mudamrefu wakiwa hawajui hatma yao