Wingu jeusi: Mgololo kuzizima kwa maandamano kesho!

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Habari Zilizo Nifikia Punde Ni Kuwa Mbunge Wa Mufindi Kusini KIGOLA 0755029323 Ameandaa Maandamano Ya Kukata Na Shoka Kesho Kushindikiza Malipo Kwa Walio Kuwa Wafanyakazi Wa SPM, Wafanyakazi hao wanataabika kwa mudamrefu wakiwa hawajui hatma yao
 
safi sana ueleza tatizo lako, mnakaa vikao, mnaahidiwa njia za kutatua, ukiona hakuna majibu unaandama kudai mliokubariana yatimizwe... Andamane tu, ila msiue kama mmwanza leo
 
Back
Top Bottom