FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,066
- 40,725
- Thread starter
- #101
Sasa tafuta pesa acha wivuSina hela za kununua
Sasa tafuta pesa acha wivuSina hela za kununua
World wide ndicho anachoulizwa, ๐๐๐๐Mkuu Siri ni kama google inaanza kutuo feedback taarifa ambazo ni locally hii inatokana kama ume allow location.
Nani kakwambia sifanyi yangu ๐๐๐๐Mzee fanya yako
Ningekuona wa maana Kama ungekuja kumsifia baba yako
Sawa, ila SIRI ndio kashasema sasa ๐๐๐ungekuwa na elimu ndogo tu ya Deep Network Algorithm usingeandika huu uzi
Kuna nyimbo ya Tanzania ilishawahi kuingia billboard? Huo mfumo sio inclusive, tofauti na SIRI, ipo extremely cummulative and inclusiveNimekuuliza wew maana jinsi ulivyofananisha charts za Clouds na Billbroad ni kama mfumo wao wa nyimbo kuingia kwenye charts unafanana kitu ambacho si kweli
Sasa na wewe unashindwa kuchanganya na zako platform zote kubwa za mziki hata top 20 hiyo nyimbo haipoWorld wide ndicho anachoulizwa, ๐๐๐๐
Kamlipieni quuen darlin kodi ya nyumba kwanza au ela yote imeishia kwenye budget ya propaganda ?Sasa tafuta pesa acha wivu
Kumbe nawe umegeuka kundi la kusifu na kumuabudu Diamond? Una vigezo gani vya kuulinganisha wimbo huo na zingine zote DUNIANI??Yaani katika dunia hii ya watu karibu takriban bilioni 8, nyimbo ya kijana wetu, mTanzania mwenzetu, Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa.
Wizara ya maliasili na utalii itumie fursa hii adhimu kuiambia dunia kwamba Tanzania ina nini cha kuwapa watalii, maana kila mtu anaiulizia Tanzania sasa hivi, hata search rating za Tanzania zimepanda sana kwa sasa.
Video clips zina maelezo zaidi:
hilo ni tatizo la kiakili linaitwa 'SELF DECEPTION'Sawa, ila SIRI ndio kashasema sasa ๐๐๐
Mbona sina wivu?Jinyonge tena hadi wivu ukuishe
Tanzania na Africa kwa ujumla wenye access na internet ni chini ya 15%, hivyo kuna factor inatumika unapolinganisha na nyimbo ya sehemu ambapo internet connectivity ni zaidi ya 90% (mara sita zaidi), hivyo SIRI ikiona 10million views ya Waah huwa inafanya mara sita (60 million views) kabla haijaanza kulinganisha na nyimbo yeyote ya marekeni, sijui unanielewa lakini?I think nyimbo namba moja inaweza kuwa monsters ya shawn mendes na justin bieber or bill eilish therefore im sababu imeingiza views milion 50 ndani ya siku tatu nadhani.
Hiyo inaweza kuwa namba moja afrika mashariki.
Mwambie atumie VPN afu aiulize tena SIRI, tuone kama ni kweli ๐นHata ikiwa hivyo, haiwezi kuwa kweli. Hizi system zinajibu maswali according to locality. Ingelikuwa huo wimbo unaongoza huko kwingine kama tidal, spotify, boomplay, amazon, itunes, basi angekuwa kaingiza mpunga kuliko Drake ๐ ๐ ๐