Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,295
2,000
Huyo siri anajichanganya tu..itakuwa by locality..

Wimbo namba moja duniani wakati kwenye chart kubwa hata haupo?

Sema pia kiafrica sana huu unaweza kuwa No.1.
Uliza juu ya utendaji kazi wa Siri, no research, no right to speak
 
dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
1,814
2,000
Upatikanaji wa matokea ya hizo chart sio worldwide, wewe ulishawahi kuhojiwa kwamba nyinbo gani iwe ya kwanza? Au clouds waliwahi kumuhoji mtu wa matekani nyimbo gani iwe ya kwanza? Ila Siri inafanya complete commulative statistical augmentation ya platforms zote za uwasilishaji wa kazi za sanaa, hivyo iko more precise
Nitajie platform 3 tu ambazo unafikir SIRI imefanya statistical mpaka kuifanya hiyo nyimbo kuwa namba 1_duniani
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,295
2,000
Nitajie platform 3 tu ambazo unafikir SIRI imefanya statistical mpaka kuifanya hiyo nyimbo kuwa namba 1_duniani
Zote unazozijua na usizozijua.., kwanini nitaje tatu? Haya kuna 1.) Jamiiforums entertainment 2.) Instagram 3.) google search engine

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,295
2,000
Kwahiyo unataka kuniambia niki angalia kwenye hizo platform statistical most streaming song worldwide ntakutana na wimbo wa diamond ndo unaoongoza
Hebu anza na jamiiforums kwanza tuone, ila sio suala la steaming tu, SIRI anaangalia cummulative engagement ya hadhira kwa wimbo husika, kagoogle maana ya engagement, ni tofauti na kuview tu. Mfano mtu ana view youtube mara moja lakini unakuta amecomment mara 100 na amelike na ameshare, view ni moja lakini engagement ni kubwa sana, kibishara ya marketing hiyo engagement ina value kubwa sana kuliko hiyo view, sijui naeleweka
 
vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
4,326
2,000
Hii ni Shazam na inamilikiwa na apple, Hiyo waah yenu haionekani kwenye nyimbo bora 200 zilizokua shazamad, huwezi kuwa wimbo bora kama haupo kwenye top shazamad list... endeleeni na views zenu za youtube za kununua...
E442BAEE-2858-4B65-BFD8-DFD3BC45AC92.png
68839DE8-96C3-4C98-9A42-E25BD78B670C.png
 
dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
1,814
2,000
Hebu anza na jamiiforums kwanza tuone, ila sio suala la steaming tu, SIRI anaangalia cummulative engagement ya hadhira kwa wimbo husika, kagoogle maana ya engagement, ni tofauti na kuview tu. Mfano mtu ana view youtube mara moja lakini unakuta amecomment mara 100 na amelike na ameshare, view ni moja lakini engagement ni kubwa sana, kibishara ya marketing hiyo engagement ina value kubwa sana kuliko hiyo view, sijui naeleweka
Jamiiforums sio worldwide platform na huwez ukaipima kwenye masuala ya mziki. Embu njoo na stastics ukiionyesha nyimbo ya diamond imekuwa viewed mara ngapi imepata likes ngapi comments na share mara ngapi tuone hizo rikodi alizovunja mpaka kuwa nyimbo namba moja duniani.
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,295
2,000
Jamiiforums sio worldwide platform na huwez ukaipima kwenye masuala ya mziki. Embu njoo na stastics ukiionyesha nyimbo ya diamond imekuwa viewed mara ngapi imepata likes ngapi comments na share mara ngapi tuone hizo rikodi alizovunja mpaka kuwa nyimbo namba moja duniani.
Unataka kunifanyisha kazi ambayo SIRI ameshaifanya, mimi siiwezi hiyo kazi, ni ngumu sana. Pia jamiiforums sio world wide kivipi wakati inaanza na โ€˜www.โ€™ (World wide web)?
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,295
2,000
Hii ni Shazam na inamilikiwa na apple, Hiyo waah yenu haionekani kwenye nyimbo bora 200 zilizokua shazamad, huwezi kuwa wimbo bora kama haupo kwenye top shazamad list... endeleeni na views zenu za youtube za kununua... View attachment 1645923 View attachment 1645924
Hahahah, nyimbo ikiwa Shazamed maana yake watu hawaijui, sasa kama mimi niishazam nyimbo ya waah wakati naijua jina na aliyeimba? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
4,326
2,000
Hahahah, nyimbo ikiwa Shazamed maana yake watu hawaijui, sasa kama mimi niishazam nyimbo ya waah wakati naijua jina na aliyeimba? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu nawasiwasi na uwezo wako wakufikiria mambo rahisi kama haya.. kama hujui cha kwanza wimbo utausikia maybe kwenye redio bar au popote then ukinogewa unautafuta...na hapo ndio kazi ya shazam inapokuja
 
dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
1,814
2,000
Unataka kunifanyisha kazi ambayo SIRI ameshaifanya, mimi siiwezi hiyo kazi, ni ngumu sana. Pia jamiiforums sio world wide kivipi wakati inaanza na โ€˜www.โ€™ (World wide web)?
Unaamini AI kwenye kila kitu unashindwa kuchanganya na zakwako pole sana.
Jf watumiaji wake wengi ni wa hapa hapa bongo ukizid sana nchi jirani.
 
fungi

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
2,536
2,000
Hiyo SIRI haiangalii tu views za youtube kujua nyumbo namba moja, bali inaangalia cummulative engagement ya watu katika platforms zote kama na hasahasa instagram jinsi watu wanavyo repost, kucomment na kufanya challenges mbalimbali za huo wimbo (engagement ndio hasa huketa pesa kwenye marketing); jinsi jina linavyokuwa searched kwenye search engines hasa google, jinsi inavyonunuliwa /kusikilizwa kwenye platforms kama audio mack, amazon, boomplay na nyinginenezo..., statistical dimensions zipo nyingi sana, hata hapa tunapojadili ni kwamba tumekiwa engaged na huo wimbo, Siri inaangali hivi vyote na kujua ipo ndio namba moja kwa wakati husika. Ondoa chuki na legeza ubongo.
unajua jinsi SIRI inavyofanya kazi??
 
fungi

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
2,536
2,000
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…, hii ni sawa na kuuliza nyimbo iliyoshika namba moja billboard imeshika namba ngapi kwenye Clouds top 20 ambapo wasikilizaji ndio hupiga simu na kupiga kura ipi ishike namba moja, nani ataipigia kura Waah? Angalia jibu langu la post namba 36 kwa ufafanuzi zaidi
Nyimbo inaingia vipi kwenye charts za Billboard?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom