Wimbo wa Diamond Platnumz - WAAH ndio nyimbo namba moja duniani kwa sasa!

Mkuu nawasiwasi na uwezo wako wakufikiria mambo rahisi kama haya.. kama hujui cha kwanza wimbo utausikia maybe kwenye redio bar au popote then ukinogewa unautafuta...na hapo ndio kazi ya shazam inapokuja
Sasa kama mtu ana followers milioni karibu 12 instagram na subscribers karibu milion 5 youtube, obviously watu wataanza kuisikia kwenye social plarforms za mitandao kabla hata hajaisikia kwenye TV au Redio, angalia vizuri social media presence ya diamond utaona kwanini shazam haina maana sana kwake, maana hao followers wake tu wakishapata hiyo link wanaishare kwa wenzao wengi ambao si followers, nadhani unaelewa
 
Unaamini AI kwenye kila kitu unashindwa kuchanganya na zakwako pole sana.
Jf watumiaji wake wengi ni wa hapa hapa bongo ukizid sana nchi jirani.
Sawa lakini Siri anaunganisha data za mitandao yote, iwe locally based au international based, inaunganisha zote, na ndio tunaipta number one, bila kigugumuzi
 
Followers fake AKA inactive....
 
Sawa lakini Siri anaunganisha data za mitandao yote, iwe locally based au international based, inaunganisha zote, na ndio tunaipta number one, bila kigugumuzi
Mkuu Siri ni kama google inaanza kutuo feedback taarifa ambazo ni locally hii inatokana kama ume allow location.
 
When zarithebosslady is Tanzania this diamond shines and his music performances is well.

Nyota ya dai ni zari, she shines him.

Sema tu jamaa haelewi hilo.
wewe utakua unamdangia zari...kila uzi wa diamond unapost hivi,,unataka warudiane ili pesa za kuhongwa ziongezeke?
 
hivi smartfone ya kwanza(touch screen) haikuwa iphone?
 
hivi smartfone(touch screen) ya kwanza haikuwa iphone?
 
Mzee fanya yako
Ningekuona wa maana Kama ungekuja kumsifia baba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…