Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

roma hana jipya..muziki hawezi analazimisha,bahati ni mara moja ilishapita .
 
roma huwa ni ---- zaidi ya faras wa kiarabu napenda hiphop ila kelele za roma sitaki bora hawa.jy mo.prf j.fid q,soro thang,mwana fa. roma kalio asubir sana
 
namkubali sana huyu jamaa..sorry kwa roma hater.
 
mkuu una bifu na jamaa...?
au ndio matumbo yako..mmmh

siwezi kuwa na bifu na uyo mtoto mdogo mkomao ,,nyimbo zenyewe hawezi kutengeneza,,alibahatisha hatakaa atoke tena...kama nilivyosema wakati anatoa wimbo 2030 kuwa utafeli na kweli ulifeli na huu kkk pia utafeli..
 
Na hawezi kupata shows za njee (hata hapo kwa majirani zetu) coz watu hatomuelewa....
Mfano nani ktk nchi hizo anae jua veta au kibonde sijui nini...yaan hua anaimba msmbo yaahapa hapa alafu ni yenye msimu.
Muimbaji mzuri inabidi utunge mashair yatakayo ishi muda mrefu na bila kupitwa na wakati!
 
Kama kweli mtu anaijua hip hop na haumelewi Roma basi itakua kwa sababu binafsi zaidi lakini sio za kimuziki naamini anafanya kile kipo kufuata utamaduni huu unless nitamuelewa yule atakaesema hampendi kwa sababu yy mtu wa viduku na mambo km hizo.
 
Inauma sana kusikia mtu niliyemwamini kama Roma anaimba utumbo kiasi hiki! nyimbo imejaa matusi matupu!!ameisha kwakweli
 
Tupia huo wimbo hapa basi mkuu DullyJr jamaa anaeleweka sana.
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kupenda mashairi ya ROMA, sababu ni yakuunga unga na style yake ya kuchana haina mvuto (ya kizamani sana), ukiongezea kuwa kajiunga na CHADEMA basi naona kama anatafuta tu huruma kwa wanachama maana kasha jua hana chake tena ktk huu muziki. Sio kila young ni killer, na sio kila sharobaro atafia Muheza, vaa pendeza........bora YOUNG KILLER X1000.
 
Kama kweli mtu anaijua hip hop na haumelewi Roma basi itakua kwa sababu binafsi zaidi lakini sio za kimuziki naamini anafanya kile kipo kufuata utamaduni huu unless nitamuelewa yule atakaesema hampendi kwa sababu yy mtu wa viduku na mambo km hizo.

mi ananiboa anavyouponda uislam ye anazani mashabiki wake ni wakatoliki pekee, aende wakamlawiti kabisa
 
Kila msanii ana mlengo wake na hii inategemea aina ya muziki anaoimba kwenye hip hop haitakiwi kuwa mnafiki ndio maana Kala Pina anaitetea dini yake wazi wazi kwenye ngoma zake ila bado ana mashabiki wakristo maana kuna vitu vingine vinapatikana kwny nyimbo zake tofauti na dini.
 
"Aliyepata ziro form 4 mnamsukumia VETA,
mnaamini umeme wa magari unahitaji MAZEZETA?"
roma mkatoliki

Si kila aliepata zero ni zezeta ata kama alikua anatafuta vina ila kumuita aliepata zero ni zezeta si sawa. Hao anaowaita mazezeta ndio mashabiki wake mfyuuuu sielewi huwa anaimba nini
 
R.O.M.A kama mzembe wa kufikir huwezi mwelewa,na kama hip hop unafuata mdundo wa muziki tu bila tungo,utazidi kumchukia.wasanii kama roma nchini wanaesabika kuanzia uandishi mpaka kukubalika fuatlia shoo zake utanielewa.msanii mwenye kuandika kile ambacho kinaitesa jamii yake.sio hao wa ngono na pombe kila siku na kutaja majina wimbo mzima
 
na kuhusu suala la shoo za nje hawezi kuitwa kwa sababu wengi wanaitwa kutumbuiza kwenye birthday,kipaimara,komnio,kitchenparty,sendoff na ubatizo huo ni upande wa wenzetu wanaotuaga wanaenda ulaya kwa ajiri ya shoo.upande wa pili wa shoo za nchi jirani kama kongo,kenya,uganda,rwanda n.k.roma hapati kwa sababu waandaaji ndio anaowasema kwa urasimu na unyonyaji wao we unafikir watampa adui yao shoo.ni kwa ufupi ika najua mmemwelewa roma kkk
 
Back
Top Bottom