Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

Nyimbo zangu pendwa za zamani na za sasa
1. Simba wa yuda - unanikumbushaga siku ya send off yangu miaka hiyo, ukumbi ulirindima
2. Sauti ikatoka - kkkt mabibo
3. Albamu nzima ya mwenye mamlaka - Ulyankulu
4. Ee Mungu Nitakushukuru - Rose Muhando
5. Huyo ni Yesu - Ambassador Kigali
6. Nenda na uzima wako - AIC chang'ombe
7. Ombi langu - Magena youth
8. Haiwezekani na Nyanyua bendera - Kkkt Keko vijana
9. Mkono wa Bwana - Zabron singers
10. Alfajiri ya Kupendeza - Nairobi University
11. Mke Mwema - FPTC Kasulu vijana choir
 
Nyimbo zangu pendwa za zamani na za sasa

11. Mke Mwema - FPTC Kasulu vijana choir
Huu wimbo hua unanikumbusha mama yangu aise, alikua akitwanga mpunga anakua anauimba sana. Nikimmiss hua nauimba huu.

Nyimbo zangu pendwa ambazo sio za kikatoliki
  • Ninamjua aliyeniweka duniani
  • Katika njia ya injili
  • Safari ya mbinguni (kkkt kimara)
  • Upendo SDA
 
Kwaya ya vijana ya Mt theresia kama sikosei Unga limited vibao karibu vyote vilikuwa vikali
Amani

Tunakushukuru Mungu

My peace prevail on earth

Mtafute Bwana

Ee Mungu twaomba amani

Na vingine nimevisahau mwenye albam Zima akinipatia video zake akabarikiwa sana
 
Wewe Ni Mungu - Mt. Kizito Makuburi
Ni Kwa Neema Na Rehema - Edson Mwasabwite
Nimeonja Pendo Lako - Kapotive Star Singers
Mbali Kule Nasikia - John Maja
Mkono Wake Bwana - Zabron Singers
Upendo Wa Yesu - Upendo Nkone
Kijito Cha Utakaso - Beatrice Muhone

@Nchi Jirani
Nasema Asante - Sarah K.
Tufanye Kazi - Ambassadors of Christ
Moyo Wangu - Patrick Kubuya
Kaa Nami - Angela Chibalonza

Wakati wa Noeli huu wimbo unasuuza moyo mno
 
Faustini munishi(sio kwaya ni solo Artis lakini naupenda)- malebo
Munishi-wanamuabudu Nani
Kkkt vijana keko- amefanyaje
Tag Forest worship team- Yesu wa thamani.
Hizi tbt sijui majina ya kwaya lakini najua nyimbo
Lulu.
Kunyatanyata.
Sauli mbona waniudhi.
Kuna ile wanaimba (samsoni niambie asili ya nguvu zakooo) wanaongea kidogo😊 album nzima nyimbo zote nzuri.
Hakuna Mungu Kama wewe bwana.
Kekundu kekunduuuu.
Ambassadors of christ- kwetu pazuri,nifundishe kupenda,kazi tufanye(album Yao yote ile ilikuwa😍)
Mimina.
Nimeonja pendo lako.
Nikiziangalia mbingu.
Aisee kwaya nyingi Sana nimesikiliza na ninazipenda zingine mpaka nikiisikia ndio naikumbuka
Uzi mzuri
 
Gloria mlilo....matokeo
Ambwene..... Nataman
Sifael....naja mbele zako
Gwamaka.....shangilia
shusho.... nikumbuke
John lissu....hakuna gumu kwako
Atosha kisava....nakuamini mungu
Goodluck.....nipe
solomon mkubwa...mungu mwenye nguvu
karungu parish......neno la mungu ni neno

Naomba kwaya za karungu parish yaani nikitafuta mtandaon sizipati kabisa
 
Gloria mlilo....matokeo
Ambwene..... Nataman
Sifael....naja mbele zako
Gwamaka.....shangilia
shusho.... nikumbuke
John lissu....hakuna gumu kwako
Atosha kisava....nakuamini mungu
Goodluck.....nipe
solomon mkubwa...mungu mwenye nguvu
karungu parish......neno la mungu ni neno

Naomba kwaya za karungu parish yaani nikitafuta mtandaon sizipati kabisa
 
Nyimbo zangu pendwa za zamani na za sasa
1. Simba wa yuda - unanikumbushaga siku ya send off yangu miaka hiyo, ukumbi ulirindima
2. Sauti ikatoka - kkkt mabibo
3. Albamu nzima ya mwenye mamlaka - Ulyankulu
4. Ee Mungu Nitakushukuru - Rose Mudando
5. Huyo ni Yesu - Ambassador Kigali
6. Nenda na uzima wako - AIC chang'ombe
7. Ombi langu - Magena youth
8. Haiwezekani na Nyanyua bendera - Kkkt Keko vijana
9. Mkono wa Bwana - Zabron singers
10. Alfajiri ya Kupendeza - Nairobi University
11. Mke Mwema - FPTC Kasulu vijana choir
Namba mbili.
NAMBA NNE.
Namba tisa.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Shaloom wakuu,

Tasnia ya muziki wa injili kwa vikundi vya kwaya hapa Tanzania ni tasnia kongwe na iliyotawala zaidi kwenye chati za nyimbo za dini ya Kikristo mpaka ilipofikia miaka ya 2000's ambapo walianza kuibuka waimbaji wa kujitegemea wa nyimbo za injili na kwa wingi wao imepelekea umaarufu wa vikundi na nyimbo za kwaya kushuka kwa miaka ya karibuni.

Binafsi ni mpenzi mkubwa wa nyimbo za kwaya toka miaka hiyo mpaka sasa na leo niliamka nikiwaza ni nyimbo gani ya injili ya kwaya ambayo tunaweza kusema ndio nyimbo bora zaidi kupata kutengenezwa/kuimbwa hapa Tanzania toka mziki huu uanzishwe.

Naomba mnisaidie kuchagua namba moja kwenye list ya nyimbo za kwaya ninazoona ziliwahi kutikisa sana tasnia ya nyimbo za injili na wewe pia unaweza kuongezea chaguo lako kama unaona haipo kwenye orodha hiyo;

1. Tabata Menonite - Kunyata nyata
2. AIC Makongoro- Utumwa wa waisrael & Kekundu
3. Mtoni Evangelical- Lulu
4. Bethel Gospel - Yupo Mungu
5. Barabara ya 13- Samson na Delila
6. Mapigano Ulyankuru- Katika viumbe vyote & Goliati & Fahari ya vijana
7. Nkinga choir - Sauli wanitesa
8. KKKT Mabibo - Nijaposema kwa lugha & Sauti ikatoka.
9. AIC Chang'ombe - Gusa
10. Zablon Singers - Mkono wa Bwana
11. Jerusalem choir - Kesho ni yako
12. Kijitonyama uinjilisti - Hakuna Mungu kama wewe & Simba wa Yuda
13. Pastor Alex & Mary Atieno - Sodoma na Gomorrah
14. Eternal life gospel - Sio sisi
15. Mtakatifu Kizito Makuburi - Mimina & Yesu ni mwema
16. Mt. Theresia Matogoro - I love you
17. Kapotive star- Nimeonja pendo lako
18. Arusha town - Kila mtu na mzigo wake
19. Tafes (Ardhi)- Maserafi
20. Essence of worship- Mimi siwezi
21. The reapers - Ninaye rafiki
22. Muungano choir- Natembea mimi ni marehemu.
23. Mt Kizito- Watoto wa nyumba zote

Karibuni.
Kwa hili nitakuita baba samahani Kama ni mwanamke

Aisee kuna wimbo hapa huo namba 8 nimeutafuta kwa miaka mingi bila mafanikio sikujua hata nianzie wap

Nikawa naishia kujiimbia kimoyo moyo

Kwa kifupi ni wimbo wa kitambo kidogo asante sana ngoja niutafute then nienjoy
 
Back
Top Bottom