Wimbo bora wa kwaya wa siku zote (Best of all times)

1.TABATA MENNONITE ila siyo kwa wimbo wa KUNYATA NYATA bali ule wimbo wao mwingine wa WATU WANAPENDA MIKATE.

2.AIC CHANG'OMBE

3.MT. KIZITO MAKUBURI DAR- WATOTO WA NYUMBA ZOTE.

4.LUTHERAN MABIBO- Ile Album yao ya SAUTI IKATOKA.

5.MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR- HAKIKA "Natembea nikiwa marehemu".

6.KAPOTIVE STARS.

7.MT. CECILIA ARUSHA-MSHIPI.

8.AMBASSADORS OF CHRIST RWANDA.

9.MABATINI ADVENTIST CHOIR MWANZA.

10.MT. MAURUS MAKONGOROSI, CHUNYA.
 
Shaloom wakuu,

Tasnia ya muziki wa injili kwa vikundi vya kwaya hapa Tanzania ni tasnia kongwe na iliyotawala zaidi kwenye chati za nyimbo za dini ya Kikristo mpaka ilipofikia miaka ya 2000's ambapo walianza kuibuka waimbaji wa kujitegemea wa nyimbo za injili na kwa wingi wao imepelekea umaarufu wa vikundi na nyimbo za kwaya kushuka kwa miaka ya karibuni.

Binafsi ni mpenzi mkubwa wa nyimbo za kwaya toka miaka hiyo mpaka sasa na leo niliamka nikiwaza ni nyimbo gani ya injili ya kwaya ambayo tunaweza kusema ndio nyimbo bora zaidi kupata kutengenezwa/kuimbwa hapa Tanzania toka mziki huu uanzishwe.

Naomba mnisaidie kuchagua namba moja kwenye list ya nyimbo za kwaya ninazoona ziliwahi kutikisa sana tasnia ya nyimbo za injili na wewe pia unaweza kuongezea chaguo lako kama unaona haipo kwenye orodha hiyo;

1. Tabata Menonite - Kunyata nyata
2. AIC Makongoro- Utumwa wa waisrael & Kekundu
3. Mtoni Evangelical- Lulu
4. Bethel Gospel - Yupo Mungu
5. Barabara ya 13- Samson na Delila
6. Mapigano Ulyankuru- Katika viumbe vyote & Goliati & Fahari ya vijana
7. Nkinga choir - Sauli wanitesa
8. KKKT Mabibo - Nijaposema kwa lugha & Sauti ikatoka.
9. AIC Chang'ombe - Gusa
10. Zablon Singers - Mkono wa Bwana
11. Jerusalem choir - Kesho ni yako
12. Kijitonyama uinjilisti - Hakuna kama wewe
13. Pastor Alex & Mary Atieno - Sodoma na Gomorrah
14. Eternal life gospel - Sio sisi
15. Mtakatifu Kizito Makuburi - Mimina & Yesu ni mwema
16. Mt. Theresia Matogoro - I love you
17. Kapotive star- Nimeonja pendo lako
18. Arusha town - Kila mtu na mzigo wake
19. Tafes (Ardhi)- Maserafi
20. Essence of worship- Mimi siwezi

Karibuni.
Kijitonyama-Masiah masiah

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hii list yako hiyo 14 ni baabkubwa

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
1.TABATA MENNONITE ila siyo kwa wimbo wa KUNYATA NYATA bali ule wimbo wao mwingine wa WATU WANAPENDA MIKATE.

2.AIC CHANG'OMBE

3.MT. KIZITO MAKUBURI DAR- WATOTO WA NYUMBA ZOTE.

4.LUTHERAN MABIBO- Ile Album yao ya SAUTI IKATOKA.

5.MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR- HAKIKA "Natembea nikiwa marehemu".

6.KAPOTIVE STARS.

7.MT. CECILIA ARUSHA-MSHIPI.

8.AMBASSADORS OF CHRIST RWANDA.

9.MABATINI ADVENTIST CHOIR MWANZA.

10.MT. MAURUS MAKONGOROSI, CHUNYA.
Hiyo no 3 Watoto wa Nyumba Zote imenikumbusha mbali sana, waliimba uhalisia wa maisha ya watu wengi. Niliipenda sana

Hao no 8 ni the best pia
 
Kwangu mm hii ndio list bora
  1. Beatrice Muhone-Habari njema
  2. Mtoni Evangelical Choir-haleluya
  3. Natembea Marehemu Muungano Christian Choir
  4. Pillars of Faith_Jua Litue
  5. Usifurahi Juu Yangu ya Upendo Nkone
  6. Mungu yu mwema
  7. Magena main youth choir -mamlaka
  8. jina la yesu kinondoni revival
 
Kula like kwa ajili ya

Beatrice Muhone, tena ongezea nyimbo zake zoote z Albam ya kwanza

Magena kwaya, ongezea manyimbo yao yote

Pillars of Faith, ongezea wimbo wao wa nyundo
 
Kula like kwa ajili ya

Beatrice Muhone, tena ongezea nyimbo zake zoote z Albam ya kwanza

Magena kwaya, ongezea manyimbo yao yote

Pillars of Faith, ongezea wimbo wao wa nyundo
Ngoja tuongoze
  • Magena -ombi langu
  • Pillars of faith-upendo
  • Beatrice muhone- si njia rahisi, habari njema, kijito cha utakaso, yu pekee(hakuna rafiki kama yesu), bwana yesu yuko wapi,
  • Kuna wakongo wanajiita injili international choir wimbo unaitwa songa mbele
  • kwa mji wa mwangaza-Godwin Ombeni and ruach worship. Humu kuna kadada huwa napenda sana sauti yake
 
Kwangu mm hii ndio list bora
  1. Beatrice Muhone-Habari njema
  2. Mtoni Evangelical Choir-haleluya
  3. Natembea Marehemu Muungano Christian Choir
  4. Pillars of Faith_Jua Litue
  5. Usifurahi Juu Yangu ya Upendo Nkone
  6. Mungu yu mwema
  7. Magena main youth choir -mamlaka
  8. jina la yesu kinondoni revival
Dah nisamehe sana kuwasahau Kinondoni revival asee
 
Back
Top Bottom