Mnyika: Kwaresma ya leo nawaalika kuimba Wimbo wa " Mungu Katika Nafsi Tatu" nilioutunga na kuimbwa na Kwaya ya Mtakatifu Kizito

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
John Mnyika ambaye Kisiasa ni Katibu Mkuu wa Chadema anawaalika Watu wote Wenye Mapenzi Mema kuimba Wimbo wa" Mungu Katika Nafsi Tatu" alioutunga yeye na kuimbwa na Kwaya ya Mtakatifu Kizito

Hii ni Zawadi ya Mnyika katika Siku hii ya pili ya Kwaresma

Nitaweka clip

Mfungapo Kwaresma Msiwe kama Wanafiki 😃
 
(Yeremia 22:5) na (Ezekiel 16:48).

Says: Naapa Kwa NAFSI yangu , asema BWANA.

(1 Yohana 5:8,9)
8: Kwa maana wako watatu washuhudiao ( Mbinguni Baba, Neno na Roho mtakatifu), watatatu Hawa ni UMOJA.

9: Tena wako watatu washuhudiao duniani( Maji, Damu na Roho) watatu Hawa hupatana Kwa habari Moja.

Mungu ni MMOJA, na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
Back
Top Bottom