chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,011
Kumbe anawatesa anawatesa anawatesa eheeee!!!!!
Hicho kibabu kitamtesa nani nanyi
Kumbe anawatesa anawatesa anawatesa eheeee!!!!!
Hivi pale Serena ukitaka kupata mihogo inabidi aende uelekeo upi au inabidi hawara aende danta kule melini akanunue
Nasikia kule home kwake li-Mushumbusi limeloweka nguo zake kwenye maji ili asitoke, hivyo mpaka dakika hii tunapogonga keyboard hapa JF babu yuko kwenye taulo.
Acha uongo wewe team lowasa. Nina uhakika Dr. Slaa atakuwepo kama kawaida.
Usidanganye watu
Hivi huyu Shujaa wenu leo mnamsema maneno yote machafu ana kweli siasa TZ bado sana. Muwe na adabu kwa viongozi wenu bila dr Slaa na Zitto mngeijulia wapi Chadema? HOja zao nzito bungeni ndizo zimeinua Chadema hawa jamaa walikuwa hawasusi vikao vya bunge wanapigana tu mpk kieleweke lakini walivykuja kina Lissu full kususia vikao vya bunge kwa hoja za kitoto ili wakale bata mtaani
Kumbuka huo ni muda wa ibada? ! Be careful. ALIPO DR SLAA SISI TUPOOO NYUMA YAKE. MPAKA KIELEWEKEHabari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
kivipi mkuu hebu fafanua hizo staili
kwa hiyo hii live ya saa 3 asubuhi imeshindikana mkuu? kwanini?
Acheni kujitoa ufahamu nyie misukule wa mamvi, Dk ni mwanasiasa nguli na msomi anayejielewa hawezi kukimbia mdahalo hata angeitwa CNN
Marudio ni saa moja.....
Kanisani katoka?
Habari nilizopewa kutoka chanzo cha uhakika, zinasema huenda Dr.Slaa ameamua kukacha kipindi hicho cha Azam TV baada ya Said Kubenea kutangaza jana kuwa atamuumbua na kuelezea ukweli wote juu ya kilichopo nyuma ya pazia baada ya uvumilivu kushindikana. Wachambuzi wa mambo wanasema huenda Dr.Slaa amepanga amsikilize kwanza Said Kubenea ili aweze kujipanga kujibu mapigo.
Jana Said Kubenea alitoa taarifa kwenye vyombo vya habari, kuwa sasa ameamua kukabiliana na Dr.Slaa kila hatua ili ukweli wote ujulikane kuhusu Richmond, na sakata zima la yeye kukikacha chama chake. Hii ilitokana na Dr.Slaa kumtaja Said Kubenea wkt akiwa kwenye mahojiano na Star TV siku ya Ijumaa.
Nyie mnaopelekwa tu kama nyumbu bila hata kujua chama chenu kinasimamia misingi gani ndio wa kuhurumiwa, chama mmeuza kwa wachumia tumbo hata mkawasahau waliowafikisha hapo.
Shame on you CHADEMA