Kumbuka huo ni muda wa ibada? ! Be careful. ALIPO DR SLAA SISI TUPOOO NYUMA YAKE. MPAKA KIELEWEKE
Mpo nyuma yake mnafanya nini? muhuni mkubwa we! muache dr.mihogo kishapoteza dira.
Kumbuka huo ni muda wa ibada? ! Be careful. ALIPO DR SLAA SISI TUPOOO NYUMA YAKE. MPAKA KIELEWEKE
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuuuu.Ccm Slaa anaimaliza, mtakuja kulaumiana kwa sababu ya Huyu SLAA.
Nyumbu katika ubora wao
Gazeti LA Mtanzania limemmaliza
Yupo sehemu anapigwa tuition na Kinana jinsi ya kuuharibu ukawa.Yuko anatunga uongo mwingine ili kuondoa yale mapungufu ya kujichanganya changanya
Kumbe anawatesa anawatesa anawatesa eheeee!!!!!
Hata kama mimi ndio ningekuwa Dkt Slaa,
nisingekubali kufanya interview na Tido Mhando,
Jamaa ana maswali magumu sana!
Pongezi kwako Dkt Slaa kwa kutoka Nduki.
Mnashangaza sana.
Akiongea hamjibu hoja mnamtukana.
Akinyamaza pia mnamdhihaki.
Mnatakaje???
Kumbuka huo ni muda wa ibada? ! Be careful. ALIPO DR SLAA SISI TUPOOO NYUMA YAKE. MPAKA KIELEWEKE
Nimeamini TZ tunavijana mazuzu aisee!! mijitu inafarijiana na ugoro huku ikifuata mkumbo ujinga du!
Nimeamini TZ tunavijana mazuzu aisee!! mijitu inafarijiana na ugoro huku ikifuata mkumbo ujinga du!
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuuuu.Ccm Slaa anaimaliza, mtakuja kulaumiana kwa sababu ya Huyu SLAA.
Kuna siku Tido alimpiga Kinana maswali mazito hadi nikaona aibu kwa niaba ya Kinana.
walinzi wake hapa chini ndo wanaratibu kila kitu hivyo sasa amekuwa mwanasesere ana aamrishwa cha kufanya ili anendelee kula bata pale SERENA HOTEL
Dk Slaa: Ninalindwa na Usalama wa Taifa - Kitaifa | Mwananchi