Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Status
Not open for further replies.
Hivi huyu Shujaa wenu leo mnamsema maneno yote machafu ana kweli siasa TZ bado sana. Muwe na adabu kwa viongozi wenu bila dr Slaa na Zitto mngeijulia wapi Chadema? HOja zao nzito bungeni ndizo zimeinua Chadema hawa jamaa walikuwa hawasusi vikao vya bunge wanapigana tu mpk kieleweke lakini walivykuja kina Lissu full kususia vikao vya bunge kwa hoja za kitoto ili wakale bata mtaani
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

atatumiwa sana na CCM hatimaye atatemwa kama KAPI!
 
Kwani alikuwa anakwenda sasa au tayari kipindi kilishafanyika! Just ilitakiwa kurushwa hewani tu na sio live kama sikosei.
 
Kipindi kiko recorded...Iweje unasema amemkacha?..

Kilisharekodiwa tangu last week...Leo kilikuwa kinarushwa hewani tu Chifu...

Huyo aliyekuletea hiyo habari amekupotosha na wewe bila kujiongeza umekuja kupotosha jamvini...

Wa kuulizwa ni Azam TV kwa nini hawajakirusha hewani?..

Hivi wewe unasema nini? Vipindi vyote viwepo hewani ila hiki cha Slaa kishindikane? Unajuwa kile kipindi kinarekodiwa muda gani? Slaa amekacha na huo ndiyo ukweli. Subiri uletewe kila kitu kuhusu hilo! Kwa sasa kaa utulie!!
 
Dah aisee wewe Tido ebu tueleze kulikoni maana lawama zinapaswa ziende kwa Tido kama hajatoa maelezo ya kwa nini kipindi hakijaenda hewani
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

Nilisema tangu jana hapo anaingia choo cha kike Tido sio kilaza kama hao wengine wanaomlealea; angeumbuka kinyama
 
Huu ni uongo wa dhahiri,kipindi hiki sio live program ni cha kurekodi na Dr slaa ameishafanya mahojiano na tido,sasa azam wasene tu kwanini hawajakirusha kipindi CA kama Dr kakacha wangetoka hadharani kysema

Hadhara ipi zaidi ya hapa unaposikia.
 
Hivi huyu Shujaa wenu leo mnamsema maneno yote machafu ana kweli siasa TZ bado sana. Muwe na adabu kwa viongozi wenu bila dr Slaa na Zitto mngeijulia wapi Chadema? HOja zao nzito bungeni ndizo zimeinua Chadema hawa jamaa walikuwa hawasusi vikao vya bunge wanapigana tu mpk kieleweke lakini walivykuja kina Lissu full kususia vikao vya bunge kwa hoja za kitoto ili wakale bata mtaani

Mbona unatetemeka ndugu yetu
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

Nadhani ulisoma ule uzi wa Pasco jana inaweza kuwa ni sababu
 
Hivi huyu Shujaa wenu leo mnamsema maneno yote machafu ana kweli siasa TZ bado sana. Muwe na adabu kwa viongozi wenu bila dr Slaa na Zitto mngeijulia wapi Chadema? HOja zao nzito bungeni ndizo zimeinua Chadema hawa jamaa walikuwa hawasusi vikao vya bunge wanapigana tu mpk kieleweke lakini walivykuja kina Lissu full kususia vikao vya bunge kwa hoja za kitoto ili wakale bata mtaani
Haisaidii unakwenda medical school kwa miaka mitano shule ngumu, unashidwa kwenda intern mwaka mmoja..alafu unakosa cheti cha kupractice, haina maana hata kidogo na watanzania wngi ndo tulivyo, papara, mihemko na tamaa tunakua na maisha nusu nusu
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

Hawezi kukaaa meza moja na mwandishi nguli kama Tido Mhando, bora uombe kupelekwa the hiege kuliko kuhojiwa na TM
 
hahahaha! akili ndogo imeikacha AKILI KUBWA. patamu sana hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom