mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Anguumiza leo Tido kwa maswali, siyo yule kilaza wa Star TV
Kilichifanyika *tv slaa kaenda na maswali ya kuulizwa aliyoandaliwa na ccm,mtangazaji akapewa amulize.
Anguumiza leo Tido kwa maswali, siyo yule kilaza wa Star TV
Marudio ni saa moja.....
Habari nilizopewa kutoka chanzo cha uhakika, zinasema HUENDA Dr.Slaa ameamua kukacha kipindi hicho cha Azam TV baada ya Said Kubenea kutangaza jana kuwa atamuumbua na kuelezea ukweli wote juu ya kilichopo nyuma ya pazia baada ya uvumilivu kushindikana. Wachambuzi wa mambo wanasema HUENDA Dr.Slaa amepanga amsikilize kwanza Said Kubenea ili aweze kujipanga kujibu mapigo.
Jana Said Kubenea alitoa taarifa kwenye vyombo vya habari, kuwa sasa ameamua kukabiliana na Dr.Slaa kila hatua ili ukweli wote ujulikane kuhusu Richmond, na sakata zima la yeye kukikacha chama chake. Hii ilitokana na Dr.Slaa kumtaja Said Kubenea wkt akiwa kwenye mahojiano na Star TV siku ya Ijumaa.
Inawezekana uelewa wangu wa jinsi habari za uhakika zinavyoripotiwa ni mdogo sana, hilo neno Huenda ulilolitumia kwa tafsiri yangu (sio lazima iwe ndio ukweli) ni kuwa hicho ulichoandika umetunga na kulitumia hilo neno ili utakapoulizwa kuthibitisha useme haukuwa na uhakika.
Ifike mahali tusijifanye tuko karibu na vyanzo vya habari ili tu tupate heshima kwenye jamvi, kama ni ukweli nashukuru kwa taarifa, lakini kama ni uzushi wako tu unawapoteza wanaotegemea habari za kuaminika humu.
Nyie mnaopelekwa tu kama nyumbu bila hata kujua chama chenu kinasimamia misingi gani ndio wa kuhurumiwa, chama mmeuza kwa wachumia tumbo hata mkawasahau waliowafikisha hapo.
Shame on you CHADEMA
Inawezekana uelewa wangu wa jinsi habari za uhakika zinavyoripotiwa ni mdogo sana, hilo neno Huenda ulilolitumia kwa tafsiri yangu (sio lazima iwe ndio ukweli) ni kuwa hicho ulichoandika umetunga na kulitumia hilo neno ili utakapoulizwa kuthibitisha useme haukuwa na uhakika.
Ifike mahali tusijifanye tuko karibu na vyanzo vya habari ili tu tupate heshima kwenye jamvi, kama ni ukweli nashukuru kwa taarifa, lakini kama ni uzushi wako tu unawapoteza wanaotegemea habari za kuaminika humu.
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo poro
Akili ileile, mtamtesa sana na rais wenu (kama kweli atapata ridhaa) maana mmejengwa kwa misingi ya Ukasuku kurudia unachokaririshwa usiku hata mtu akikuuliza jina lako utajikuta unaropoka ujinga.
Nina uhakika na nilichokisema. Hiyo ni lugha tu imetumika. Lkn hiyo ndiyo taarifa niliyopewa na kuifikisha km ilivyo. Samahani kama nimekukwaza mkuu
Akili ileile, mtamtesa sana na rais wenu (kama kweli atapata ridhaa) maana mmejengwa kwa misingi ya Ukasuku kurudia unachokaririshwa usiku hata mtu akikuuliza jina lako utajikuta unaropoka ujinga.
Kama ni uhakika tunashukuru kwa taarifa, basi siku nyingine usilirudie hilo neno kama utataka tukuelewe vizuri maana linapunguza kuaminika kwako.
Msimlaum jamani MIHOGO ITAKUWA HAIJAIVA.