Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Status
Not open for further replies.
Hawezi kukaaa meza moja na mwandishi nguli kama Tido Mhando, bora uombe kupelekwa the hiege kuliko kuhojiwa na TM

Acheni kujitoa ufahamu nyie misukule wa mamvi, Dk ni mwanasiasa nguli na msomi anayejielewa hawezi kukimbia mdahalo hata angeitwa CNN
 
Kipindi kiko recorded...Iweje unasema amemkacha?..

Kilisharekodiwa tangu last week...Leo kilikuwa kinarushwa hewani tu Chifu...

Huyo aliyekuletea hiyo habari amekupotosha na wewe bila kujiongeza umekuja kupotosha jamvini...

Wa kuulizwa ni Azam TV kwa nini hawajakirusha hewani?..

wewe unayejiongeza umewauliza azam kwanini hawajarusha?
 
Kwa Tido Mhando lazima akimbie maana angekalia "hot seat" leo angejuta. Maana asingeweza kuhimili maswali na uongo na uzandiki wake ungeanikwa. Amezoea kwenda kwenye vituo vya TV vyenye affiliation na CCM kwa waandishi waliosomea uchochoroni huko na wasio na maadili ya kazi, Waandishi wanaondalia mtu maswali ya kuuliza au maswali yenye kuelekeza majibu.

Tido ni mwandishi makini na siku zote kwake ni profession kwanza mtu baadae. Ndio maana 'walishindwana' na serikali ya CCM.
 
TIDO bingwa wa kuhoji kamwogopa,alimwonea Yusufu kamote wa star tv ambaye alitawaliwa hadi akawa anashindwa kuhoji vitu vya msingi
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

Dr Mihogo na ccm walitaka kuleta uhuni wa kipindi recorded kirushwe kama live.
Naona Tido hajakubaliana na huo uhuni.
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

Habari nilizopewa kutoka chanzo cha uhakika, zinasema huenda Dr.Slaa ameamua kukacha kipindi hicho cha Azam TV baada ya Said Kubenea kutangaza jana kuwa atamuumbua na kuelezea ukweli wote juu ya kilichopo nyuma ya pazia baada ya uvumilivu kushindikana. Wachambuzi wa mambo wanasema huenda Dr.Slaa amepanga amsikilize kwanza Said Kubenea ili aweze kujipanga kujibu mapigo.

Jana Said Kubenea alitoa taarifa kwenye vyombo vya habari, kuwa sasa ameamua kukabiliana na Dr.Slaa kila hatua ili ukweli wote ujulikane kuhusu Richmond, na sakata zima la yeye kukikacha chama chake. Hii ilitokana na Dr.Slaa kumtaja Said Kubenea wkt akiwa kwenye mahojiano na Star TV siku ya Ijumaa.
 
Nimewasilia na Dr Slaa,
Kipindi chake na Tido Mhando kitafanyika wakati mwingine.
Poleni kwa usumbufu.....

Mandla.
 
Sasa hao AZAM SI NDO WAKWAMBIE KWANINI AMESHINDWA KUJA?
 
ajabu wanaomtetea slaa sasa ni magambas!ahahaha

Nyie mnaopelekwa tu kama nyumbu bila hata kujua chama chenu kinasimamia misingi gani ndio wa kuhurumiwa, chama mmeuza kwa wachumia tumbo hata mkawasahau waliowafikisha hapo.
Shame on you CHADEMA
 
Nao ccm wangekua wanampa hata muda wa kupumzika we muda wote wanataka ashinde media na istoshe saivi silaha zote zimeisha akienda media ni kujibu habari za mitandaoni tu hakuna mashambuliz tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom