Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,393
Sasa nazidi kuelewa zaidi ni kwa nini Watanzania wana hali mbaya hivyo. Ni watu wanaodanganyika kirahisi mno. Hapa tayari wako watu wengi wamedhani ni kweli Dr Slaa amemkacha Tido Mhando.
Vile vile, ni Tanzania tu ndiyo yenye watu wanaoweza kudhani kwamba kikundi cha watu walioachishwa uongozi kwa sababu za kupokea rushwa na wizi kitakuwa ndio mkombozi wao.
Vile vile, ni Tanzania tu ndiyo yenye watu wanaoweza kudhani kwamba kikundi cha watu walioachishwa uongozi kwa sababu za kupokea rushwa na wizi kitakuwa ndio mkombozi wao.