William Malecela - Mbunge Mtarajiwa Afrika Mashariki

Status
Not open for further replies.
Wajumbe tusaidieni tupate orodha ya waliopita kwenye mchujo, wanaosubiri kupigiwa kura na Bunge tupate kuwafahamu.
 
mmenikumbusha phylosopher mmoja anaitwa plato yeye alisema there are people who are born with silver,gold and copper sasa tabia ya kuendelea kurithishana cheo yaonyesha wazi phylosopher huyu hakukosea aiseeeeeeee
 
- SAwa sawa mkuu tupo pamoja, ingawa sifai kulinganisha na Kiongozi gani anayefaa? Otherwise tupo wote hapa na FB sijawahi kuwakimbia wananchi ninaotaka kuwaongoza na sijawahi kuogopa kusema wazi hapa kwamba mimi ukinikata mwili wangu umejaa damu ya CCM, UBARIKIWE MKUU!

William.

Hahaha sasa hivi umetublock wote, kweli tunakula matapishi yetu kwa tamaa zetu. Le Mutuz upooo
 
Wana JF sometimes kweli tuwe great thinkers Hey Suzie!!!!! umeleta mada nzuri,lakini naona baadhi humu wanakuwa na vitu ambavyo kwa upande wangi mimi naona sio constructive.Sie kama WanaJF ni watu muhimu sana kama sehemu ya watu ambao wameanza kuonyesha wanainfluence na kuleta upepo wenye heri njema kwa Taifa basi tumeanza kuona upepo mkubwa toka ilipoanzishwa 2006.

Tuangalie hivi katika hawa CCM candidates wanane waliotajwa je ni yupi aliyekuja humu ndani zaidi ya Willy.!!!!.Ukiondoa WanaCDM hakika wengine tungempa support tupate mtu kutoka humu ambae kesho na kesho kutwa mfumo wa CCM utabadilishwa na watoto wa hawa hawa vigogo wa CCM,kwa msingi ya kuwa anapoudhulia Bunge la EA tayari tunamtu ambae hata sauti ya wanJF itaingia EA kupitia mdau huyu wa JF kwa tiketi ya JF na pia hata yanayoendelea ndani ya bunge lile wakati huo huo tutayapata hapa hapa na kuyapatia majibu ambayo Willy atayatumia jamani.

Tusimwangalie Willy kwa jicho la CCM,ndio CCM ni mbovu lakini linapokuja kuwa ni swala la CCM ndani kwa ndani na si kwetu huku tuwape support WanaJF,Nape na Willy their part of us,yani kwa ulimwengu wa technology we are family pamoja na kuwa tunatofautiana sana kwenye itikadi na misimamo.Lakini swala la East Africa kama si Willy wana JF toeni option nani?Kwa kuwa wengineo tunawasikia majina wala binafsi siwajui,lakini kupitia JF nimevutana na Willy na hatimae kumwelewa ni aina gani ya mtu na kuwa tunatofauti za kimtizamo lakini likija la maslahi ya kitaifa tunaunga jahazi.

Uchaguzi wa Ubunge wa Willy ungekuwa ndio ule wa kupigiwa kura na umma,ule kidogo kungekuwa na vipimo kulingana na maitaji yanayokubaliana na vigezo vya umma.Kupitia vigezo hivyo ndio tungeona tunamuweka wapi Willy kwa mujibu wa jamii anayotaka kuiongoza kwenye jimbo husika.

Lakini kwa hili la ubunge huu,kinachotakiwa ni kumjenga na kumpa support ili walio huko kwenye uchaguzi wajue nyuma ya Willy kuna great thinkers, ambao pindi wakimuacha kumchukua huyu jamaa wajue great thinkers watadeal nao kuwa wanadhamira gani na watanzania kama kuna kijana wa kitanzania mwenzao anauwezo na amekuwa exposed hivyo kwa kushirikina na jukwaa anauwezo wa kujenga hoja ndani ya Bunge la EA Community .Tumpe support kwa dhamira hiyo na sio vinginevyo na ajue hilo kuwa nyuma yake licha ya kutumwa EA kwa tiketi ya CCM,lakini kuna Jukwaa makini la siasa la JF.

Tumejenge ili tumtumie kwenye Bunge la East Africa Community.Leo hii Nape awezi kufanya kikao akatoka kwenye kikao akamaliza siku tatu bila kutwambia ndani ya jamvi ana ujumbe gani toka kwenye vikao vyake vya kichama ndani ya CCM.Jana ametoka kwenye uchaguzi pamoja na vijembe kibao kumuhusu kutokana na uchaguzi wa Arumeru amekuja na pongeiz zake nzuri kwa CDM na CDM wamezipoke na maisha yanaendelea

Na vivyo hivyo mpaka sasa sizani JF kama tuna mtu RELIABLE SOURCE OF INFORMATION ndani ya Bunge la EA,imefika wakati tuna mhitaji mtu wa aina hiyo,pindi tu anaingia na kutoka ndani ya BUNGE lile tayari tuna taarifa na tunajua yanayojili,wenzetu wanasema INFORMATION IS POWER.Tumpe tuone nasi wanaJF tunaweza kufanya change ya mambo mengi ndani ya Bunge hilo kiasi kuwa Mzee Mwanakijiji nae aweke kambi mule ndani.

Tusiwe negative hata kwa mambo ya utaifa.Haya ndiyo ya Yanga akicheza na timu ya Taifa jingine Simba wanashabikia mahasimu wa Yanga,Simba nao wakicheza na timu ya Taifa jingine Yanga nayo inakuwa rafiki wa hasimu wa Simba.Hakika akili hiyo ya Simba na Yanga kwenye michezo ya Kimataifa imeludisha Soka la Tanzania,sipendi kuiona tabia hiyo iingie kwenye siasa za kimataifa tena hata kwa great thinkers ndani ya JF.

Daah hii post ya zamani lakini ilitabiri mambo yajayo maana alipopata ujumbe wa wazazi akafungua kablog kake na kututukana JF wote mpaka na ban humu kazipata hivi angepata huo ubunge mmmmmh
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Ubongo ndiyo kiungo pekee mwilini ambacho huwezi kukibadili. Unaweza kubadili mwonekano wa sura yako kwa kufanya plastic surgery na vile vile unaweza kujenga msuli sana kwenye mwili wako ama kwa kufanya mazoezi au kula sana lakini huwezi kujenga upya ubongo wako baada ya kupitisha miaka ishirini na tano.
 
si unajimu ni uhakika, jamaa ni feki sana hawezi kufanya kazi yoyote, nadhani ameathririka na tabia za ulaya na marekani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom