Haya mambo ya katiba inaruhusu ndiyo yanayotufanya tupate viongozi kama kina Lusinde, kama ni kuruhusiwa na katiba ni watanzania wote tunaruhusiwa, lakini tujiulize, je wote tunafaa kuwa viongozi?malecela,william
acha tu aende anastahili kwa nafasi hiyo kupitia katiba yetu ya tanzania inatoa haki sawa kwa mtu yeyote yule,awe mtoto wa rais ama mkulima ana haki ya kuchagua ama kuchaguliwa
Haya mambo ya katiba inaruhusu ndiyo yanayotufanya tupate viongozi kama kina Lusinde, kama ni kuruhusiwa na katiba ni watanzania wote tunaruhusiwa, lakini tujiulize, je wote tunafaa kuwa viongozi?
- Katiba pia inaruhusu kupiga kura ambayo ndio njia pekee kwa mwananchi kumchagua ya nani anafaa na nani hafai!, kuliko kulalamika.
William.
- Katiba pia inaruhusu kupiga kura ambayo ndio njia pekee kwa mwananchi kumchagua ya nani anafaa na nani hafai!, kuliko kulalamika.
William.
Kama ni katiba kuruhusu hata Lusinde anaruhusiwa na katiba, hatutaki watu wa aina hiyo tunataka viongozi wanaojulikana kwa uchapakazi wao, kwani wewe umeongoza wapi hadi unataka ubunge wa AM au unataka kujifunzia uongozi bungeni? hatutaki watu wanaosingizia katiba ku justify kuchaguliwa kwao hata kama hawana ujuzi.- Katiba pia inaruhusu kupiga kura ambayo ndio njia pekee kwa mwananchi kumchagua ya nani anafaa na nani hafai!, kuliko kulalamika.
William.
W.J.M atupishe... hafai kutuwakilisha watanzania E.A.
Kwanza anaishi na amekulia nje so hajui tz na shida zake wakati tuna wabongo wamekulia humuhumu na wanafahamu shida za wa-tz vizuri... aende akagombee marekani!
Inasemekana kuwa alikuwa anawapa mapokezi mazuri makada wa CCM ndo maana wanataka kulipa fazila kwa kumpa ubunge wa E.A
Leo wana jf wamenifurahisha mno.....
kitu kimoja ni kwamba enzi za watu kuogopa viongozi au majina ya viongozi zimekufa kabisa
watu wanamshambulia William bila kujali yeye ni nani hapa jf wala nchini...saafi saana..
nikija kwenye mada Wiliam ana kitu kimoja ambacho nafikiri
kwa wana jf ni muhimu....yuko engaging....yupo reachable...na haogopi kukosolewa..
anaweza kuwa hafai lakini angalau kwa kutumia JF na FACEBOOK unaweza kumfata na kuwakilisha mawazo yako
hii kitu ni muhimu mno kwa sasa kiongozi awe accessible na watu.....
katika wagombea woote wa ubunge wa Afrika Mashariki....ni William peke yake tuna 'uhuru wa kuongea nae na kumshambulia' tunavyotaka.......hii inaweza hata yeye kumsaidia 'kuwa kiongozi bora' akitaka...
hao wengine hatuwazungumzi kwa sababu hatuwajui kabisa....wanaweza kuwa ni wabovu kuliko William
lakini hatuna namna ya kuwajadli...........
Umeanza vizuri nikafikiri una point, kuwa Facebook na JF sio moja ya sifa zinazotakiwa kuchaguliwa you are missing the point somewhere.Leo wana jf wamenifurahisha mno.....
kitu kimoja ni kwamba enzi za watu kuogopa viongozi au majina ya viongozi zimekufa kabisa
watu wanamshambulia William bila kujali yeye ni nani hapa jf wala nchini...saafi saana..
nikija kwenye mada Wiliam ana kitu kimoja ambacho nafikiri
kwa wana jf ni muhimu....yuko engaging....yupo reachable...na haogopi kukosolewa..
anaweza kuwa hafai lakini angalau kwa kutumia JF na FACEBOOK unaweza kumfata na kuwakilisha mawazo yako
hii kitu ni muhimu mno kwa sasa kiongozi awe accessible na watu.....
katika wagombea woote wa ubunge wa Afrika Mashariki....ni William peke yake tuna 'uhuru wa kuongea nae na kumshambulia' tunavyotaka.......hii inaweza hata yeye kumsaidia 'kuwa kiongozi bora' akitaka...
hao wengine hatuwazungumzi kwa sababu hatuwajui kabisa....wanaweza kuwa ni wabovu kuliko William
lakini hatuna namna ya kuwajadli...........
Leo wana jf wamenifurahisha mno.....
kitu kimoja ni kwamba enzi za watu kuogopa viongozi au majina ya viongozi zimekufa kabisa
watu wanamshambulia William bila kujali yeye ni nani hapa jf wala nchini...saafi saana..
nikija kwenye mada Wiliam ana kitu kimoja ambacho nafikiri
kwa wana jf ni muhimu....yuko engaging....yupo reachable...na haogopi kukosolewa..
anaweza kuwa hafai lakini angalau kwa kutumia JF na FACEBOOK unaweza kumfata na kuwakilisha mawazo yako
hii kitu ni muhimu mno kwa sasa kiongozi awe accessible na watu.....
katika wagombea woote wa ubunge wa Afrika Mashariki....ni William peke yake tuna 'uhuru wa kuongea nae na kumshambulia' tunavyotaka.......hii inaweza hata yeye kumsaidia 'kuwa kiongozi bora' akitaka...
hao wengine hatuwazungumzi kwa sababu hatuwajui kabisa....wanaweza kuwa ni wabovu kuliko William
lakini hatuna namna ya kuwajadli...........
Nadhani ndugu William Point kubwa ya The Boss ni kwamba tunaweza kuwa sahihi kwa kukusoa kwa sababu tupo karibu na wewe, lakini ingekuwa mtu kama yule Mbuge wako Lusinde angekuwapo hapa JF siku nyingi labda wana JF wasingemshangaa kwa yale matusi aliyokuwa anayaporomosha Arumeru yule hafai hata kuwa Mjumbe wa nyumba 10, hapa ndipo linapokuja tatizo kwamba wana CCM walimuhukumu John Malecela kwa sababu wanamfahamu lakini hawakujuwa kitu kimoja tu kwamba kile Kibajaj ni janga la Taifa, ni heri hata kama mzee Malecela hakufanya la maana bungeni lakini ingetosha tu wabaki na mbunge anayeheshika na jamii na sio kama sasa inaonekana kama Wananchi wa Mtera ni mazuzu tu.- SAwa sawa mkuu tupo pamoja, ingawa sifai kulinganisha na Kiongozi gani anayefaa? Otherwise tupo wote hapa na FB sijawahi kuwakimbia wananchi ninaotaka kuwaongoza na sijawahi kuogopa kusema wazi hapa kwamba mimi ukinikata mwili wangu umejaa damu ya CCM, UBARIKIWE MKUU!
William.
W.J. Malechela ni zero..
Ndo wale wale na vitambi vyao kwa vile tu
wamekaa njee ya nchi basi wanajiona wao ndo wao funny enough watapewa kiti cha mbele ..
baadaye wanajitundikia PHD fake na kujiita DR W.J Malechele . Ushauri wangu wa kwanza punguza kitambi bado u mdogo utajiletea matatizo ya kiafya.
- Ahsante sana mkuu, FACTS ni nimekulia Tanzania, nimezaliwa Tukuyu, shule ya msingi nimesoma Jamhuri Mnazi Mmoja, Sekondari nimesoma Kwiro, Mahenge /morogoro, Chuo nimesoma Kidatu, na DMTU DSM, JKT nimeenda Oljoro, nikashiriki kufufua kiwanda cha Kagera Sugar baadaya kubomolewa na Idd Amin, nimefanya field kwenye meli za MV. Bukoba, Mwanza na MV, Liemba na Mwongozo, Kigoma. Nikaenda kusoma Belgium, nikafanya kazi huko, baadaye nikarudi Tanzania na kufanya kazi Shirika la Tanzania na China Sinotaship, baadaye nikaenda US nikasoma na kufanya kazi huko, mpaka niliporudi nyumbani na sasa ninagombea ubunge.
- Ninaamini kwamba mwananchi yoyote mwenye akili timamu akisoma maelezo yangu ataamua kuhusu ukweli na uongo wa hoja zako, ingawa siamini kwamba umezitoa kwa nia mbaya sometimes ni misguidance na misinformation tu uwe na siku njema sana!
William.
Mimi nataka huyu William akamtoe yule mhuni anayetukana hovyo wa mtera.
Nahiyo CCM ndio hatuitaki hata kuisikia mwaga damu ya CCM weka ya CDM otherwise kula itakuwa kwako na kura CDM- SAwa sawa mkuu tupo pamoja, ingawa sifai kulinganisha na Kiongozi gani anayefaa? Otherwise tupo wote hapa na FB sijawahi kuwakimbia wananchi ninaotaka kuwaongoza na sijawahi kuogopa kusema wazi hapa kwamba mimi ukinikata mwili wangu umejaa damu ya CCM, UBARIKIWE MKUU!
William.
Umeanza vizuri nikafikiri una point, kuwa Facebook na JF sio moja ya sifa zinazotakiwa kuchaguliwa you are missing the point somewhere.
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna watu wamepita kwenye mchujo wa kwanza wa CCM katika kupata mwakilishi wao kwenye Bunge letu la EA na mmoja wao ni huyu W.J. Malechela, swali langu hivi huyu mtu ni kweli anastahili japo hata kugombea? Au ni kweli ndo walewale wanaotumia kofia za wazee wao kutaka kuteka akili za vilaza wengi tuliopo Tanzania?