William Malecela - Mbunge Mtarajiwa Afrika Mashariki

Status
Not open for further replies.
W.J. Malechela ni zero..
Ndo wale wale na vitambi vyao kwa vile tu
wamekaa njee ya nchi basi wanajiona wao ndo wao funny enough watapewa kiti cha mbele ..
Ndo baadaye wanajitundikia PHD fake na kujiita DR W.J Malechele .

AD una hasira wewe.....duh...'linchi' limekuchosha hili n watu wanavyorithishana vyeo...lol....mzima lakini ndugu?

Anyway....Dawa ni kuingia na wewe..usiwazirie nchi...wao watakula tuu..kodi zetu hawana huruma....lets all get involved....hakuna miracle....
 
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna watu wamepita kwenye mchujo wa kwanza wa CCM katika kupata mwakilishi wao kwenye Bunge letu la EA na mmoja wao ni huyu W.J. Malechela, swali langu hivi huyu mtu ni kweli anastahili japo hata kugombea? Au ni kweli ndo walewale wanaotumia kofia za wazee wao kutaka kuteka akili za vilaza wengi tuliopo Tanzania?
Mimi nilisha sema tangu mwanzo kwamba wiliam ni njaa tu zinamsumbua, mtu amekaa marekani mda mrefu sana ameisaidia nini nchi yetu? anajua matatizo ya chin yetu? anayasikia tu kwenye vyombo vya habari na hapa jf lakini ukweli ni kwamba hajui maisha halisi ya mtu anaeishi chini ya dola moja. Lakini mimi sina cha kupoteza hata kama atapata au atakosa kwa sababu chama chenyewe alipo(CCM) nakichukia kuliko hata umasikini wangu!
 
I personally, huyu mkuu mimi namheshimu. Tumekuwa naye jamvini humu na namuelewa nini mtizamo wake kuhusu taifa. Sana sana namuuliza..ni kitu gani anataka kutufanyia akiingia mjengoni Arusha?? Anadhani tatizo kubwa linaloikabili Tanzania kule EAC ni lipi na anategemea kulitatua/kuyatatua vipi?

At least you have posted a objective opinion.
Bravo.
 
Nimekuwa nikisikia kuwa kuna watu wamepita kwenye mchujo wa kwanza wa CCM katika kupata mwakilishi wao kwenye Bunge letu la EA na mmoja wao ni huyu W.J. Malechela, swali langu hivi huyu mtu ni kweli anastahili japo hata kugombea? Au ni kweli ndo walewale wanaotumia kofia za wazee wao kutaka kuteka akili za vilaza wengi tuliopo Tanzania?
Mimi nilisha sema tangu mwanzo kwamba wiliam ni njaa tu zinamsumbua, mtu amekaa marekani mda mrefu sana ameisaidia nini nchi yetu? anajua matatizo ya nchi yetu? anayasikia tu kwenye vyombo vya habari na hapa jf lakini ukweli ni kwamba hajui maisha halisi ya mtu anaeishi chini ya dola moja. Kwanini asijiunge na makamanda kumuondoa huyu mkoloni mweusi? Ana hisa gani huko? kwanza anatafuta huruma hapa jf ila yangu haipati,Lakini mimi sina cha kupoteza hata kama atapata au atakosa kwa sababu chama chenyewe alipo(CCM) nakichukia kuliko hata umasikini wangu!
 
W.J. Malechela ni zero..
Ndo wale wale na vitambi vyao kwa vile tu
wamekaa njee ya nchi basi wanajiona wao ndo wao funny enough watapewa kiti cha mbele ..
baadaye wanajitundikia PHD fake na kujiita DR W.J Malechele . Ushauri wangu wa kwanza punguza kitambi bado u mdogo utajiletea matatizo ya kiafya.

Sidhani kama ni busara kudiskasi wajihi wa mtu nafikiri tuna hitaji watu makini. Napia haijalishi kuwa na vyeti kama havijatusadikisha kuvikubali kwa matendo. Nafikiri tusisimame kwa udogo hapa maana walikuwako wakina Masha
 
Hivi utajiita Le Mutuz bado uweze ongoza wakilisha watanzania mahali popote?

Hata ubalozi wa nyumba kumi sidhani kama anafaa.
 
Suzie umeuliza swali technical. Maoni yangu naona swala kwamba anafaa au hafai litajibiwa na wapiga kura wake mjengoni. Ila ni vema tukubali kuwa Huyu bwana anatumia haki yake ya kikatiba kama mtanzania yeyote kugombea ubunge wa Afrika mashariki. Na kama anatumia kofia ya mzee wake, sidhani kama hilo ni tatizo. Naturally, hauwezi kutenganisha jina la baba yake na mgombea. Kwamba Masanja ni mtoto wa mkulima, William baba yake ni kiongozi mkubwa....well..its an accident of nature...beyond our making....In fact mi nadhani hapa tuhoji sera na uwezo wake. Tumuulize anataka kutufanyia nini akiwa bunge la EAC. Atupe manifesto yake.

Swali kwamba ni mtoto wa kigogo wa W/M mstaafu wala lisikutishe..maana si umeona kijana mdogo wa miaka 26 Nassari alivyowagaragaza kwa hoja 'top brass' wa taifa hili akina Mkapa, Lowassa etc? So hilo siyo shida kabisa. Tanzania ya leo inabadilika na sidhani kama huyu bwana anagombea kwa sababu ilmradi tuu. If thats the case...then he is wrong. Ila nadhani at some point hili bunge la Afrika mashariki tutahitaji kulibadirisha..hakuna democrasia ya kuchaguliwa viongozi.....

I personally, huyu mkuu mimi namheshimu. Tumekuwa naye jamvini humu na namuelewa nini mtizamo wake kuhusu taifa. Sana sana namuuliza..ni kitu gani anataka kutufanyia akiingia mjengoni Arusha?? Anadhani tatizo kubwa linaloikabili Tanzania kule EAC ni lipi na anategemea kulitatua/kuyatatua vipi?

Nikweli usemayo yana tashtiti, lakini je kwa kipindi kifupi alichokuwa akirudi nyumbani au hata kwahuu mwezi mmoja tuliokaa naye amefanya kipi kwajamii angalau tujiaminishe anaweza au ni lile la kupata matokeo ya wapiga kura wa Igunga kupitia na wachangiaji wa JF. Sababu jamaa anajitahidi kutoa mawazo humu ila sikuwahi kuona hayo kama aliwahi mshauri mzee wake na chama chake
 
Ni kweli majina haya a.k.a tunayojipa yanareflect wajihi wetu lakini sidhani kama jina lilitokana na aina ya kazi mtu aifanyayo ambayo keshaiacha anapaswa kuhukumiwa nayo. Je kimwenendo anafaa kuwaongoza watanzania?
 
CCM bila kuwa na jina la wale wazee walioleta uhuru huwezi pata lolote. Huyo ni muendelezo wa sera za kuwezeshana kindugu zinazoratibiwa na ccm
 
Suzie umeuliza swali technical. Maoni yangu naona swala kwamba anafaa au hafai litajibiwa na wapiga kura wake mjengoni. Ila ni vema tukubali kuwa Huyu bwana anatumia haki yake ya kikatiba kama mtanzania yeyote kugombea ubunge wa Afrika mashariki. Na kama anatumia kofia ya mzee wake, sidhani kama hilo ni tatizo. Naturally, hauwezi kutenganisha jina la baba yake na mgombea. Kwamba Masanja ni mtoto wa mkulima, William baba yake ni kiongozi mkubwa....well..its an accident of nature...beyond our making....In fact mi nadhani hapa tuhoji sera na uwezo wake. Tumuulize anataka kutufanyia nini akiwa bunge la EAC. Atupe manifesto yake.

Swali kwamba ni mtoto wa kigogo wa W/M mstaafu wala lisikutishe..maana si umeona kijana mdogo wa miaka 26 Nassari alivyowagaragaza kwa hoja 'top brass' wa taifa hili akina Mkapa, Lowassa etc? So hilo siyo shida kabisa. Tanzania ya leo inabadilika na sidhani kama huyu bwana anagombea kwa sababu ilmradi tuu. If thats the case...then he is wrong. Ila nadhani at some point hili bunge la Afrika mashariki tutahitaji kulibadirisha..hakuna democrasia ya kuchaguliwa viongozi.....

I personally, huyu mkuu mimi namheshimu. Tumekuwa naye jamvini humu na namuelewa nini mtizamo wake kuhusu taifa. Sana sana namuuliza..ni kitu gani anataka kutufanyia akiingia mjengoni Arusha?? Anadhani tatizo kubwa linaloikabili Tanzania kule EAC ni lipi na anategemea kulitatua/kuyatatua vipi?

Sio kila memba wa JF ndo anafaa kutuongoza yaani kuna vijitabia mtu anavyo na hulka yake ndio inayompa nguvu ya kuwa kiongozi, unajua tunaweza chagua mtu akawa kazi ni kujibu shutuma zake tu na akasahau kuliwakikisha Taifa. Anyway labda mawazo yapi aliyoyatoa JF tuyasimamie au ni yale ya kuiga uongozi wa NY city wakati akijua huku ni developing country
 
Nikweli usemayo yana tashtiti, lakini je kwa kipindi kifupi alichokuwa akirudi nyumbani au hata kwahuu mwezi mmoja tuliokaa naye amefanya kipi kwajamii angalau tujiaminishe anaweza au ni lile la kupata matokeo ya wapiga kura wa Igunga kupitia na wachangiaji wa JF. Sababu jamaa anajitahidi kutoa mawazo humu ila sikuwahi kuona hayo kama aliwahi mshauri mzee wake na chama chake

Nilichoona mimi ni leo Ngwasuma, Lunch kwa fb friend wangu, picha ya pamoja na wanakijiji wenzangu, leo niko na mama yangu Anne Killango, nilikuwa Rose garden na kina Lau Masha, much respect kwa Lukuvi na mkewe wamenipokea vizuri sana, namuheshimu Nape jamaa inteligent sana. Duh nasubiria mwaliko wangu na wana JF wengine
 
Hapa unajaribu kusema nini?
Unajaribu ku-justify nini?

Ingekuwa Hip Hop, yes anafaa kabisa.
Uongozi wa nchi, Hell No.

Hana hata sifa moja ya uongozi.
Majina, uvaaji, unavyojipresent kwa watu yote yanaonyesha wajihi na IQ ya mtu.

Sidhani hata kama anajitambua ana anatambua kazi anazotakiwa kufanya.

Kabla sijaongea sana 2005, ulipiga kura ya kumchagua raisi? Ulimpigia nani?
Jibu na hili swali litakupa analytical skills zako za wagombea.

Ni kweli majina haya a.k.a tunayojipa yanareflect wajihi wetu lakini sidhani kama jina lilitokana na aina ya kazi mtu aifanyayo ambayo keshaiacha anapaswa kuhukumiwa nayo. Je kimwenendo anafaa kuwaongoza watanzania?
 
Nilichoona mimi ni leo Ngwasuma, Lunch kwa fb friend wangu, picha ya pamoja na wanakijiji wenzangu, leo niko na mama yangu Anne Killango, nilikuwa Rose garden na kina Lau Masha, much respect kwa Lukuvi na mkewe wamenipokea vizuri sana, namuheshimu Nape jamaa inteligent sana. Duh nasubiria mwaliko wangu na wana JF wengine

- Facebook ni mambo ya picha na Social life ya members wa huko, ndio maana ukienda kwenye Wall ya Obama rais wa USA, utakuta anazungumzia jinsi mbwa wake alivyomzuri na mwenye akili sana, I mean mtu akija hapa uwanja wa siasa na kuanza mambo ya Social life za huko Facebook, then inaleta maswali kama kweli ana uwezo wa kuelewa toafuti ya Facebook na JF!

Willliam.
a
 
I salute man, hili swala sio peke yangu nimekuwa nikijiuliza na umetupa upeo kuwa FB ni mahala pa hisia binafsi na wala sio maendeleo au ujuzi wako binafsi. Ndo maana Willy nilikushhauri acha mambo ya kufananisha Mamtoni na Bongo yaani tuko mbali sisi tunatakiwa kupost FB mambo ya kuitoa jamii na kuikwamua katika matatizo na wala sio kula bata kaka, soma alama za nyakati. Ila nakuheshimu kwaunavyojitetea hapa JF nakutakia kila la heri ila badilika FB za bongo tuone Visima na Matrekta
 
- Facebook ni mambo ya picha na Social life ya members wa huko, ndio maana ukienda kwenye Wall ya Obama rais wa USA, utakuta anazungumzia jinsi mbwa wake alivyomzuri na mwenye akili sana, I mean mtu akija hapa uwanja wa siasa na kuanza mambo ya Social life za huko Facebook, then inaleta maswali kama kweli ana uwezo wa kuelewa toafuti ya Facebook na JF!

Willliam.
a

wewe ni popompo kweli unajilinganisha na Obama kwenye status ya facebook ,bora ukae kimya tu ,haufai kuwa kiongozi wa aina yeyote kaendelee kukusanya taka za kutengeza umeme huko sio ulikuwa unajisifia hapa "eti le mutuz"kwa nini usiingie Bongo movie ..kunakufaa sana.
 
mara nje ya nchi,mara wazaziwe,therefore@Suzie
Mbona unajizungusha wakati ujumbe umeshaupata, Williamu hafai hata ukatibu kata. Unaishi nje miaka zaidi ya 10 halafu unataka kuja moja kwa moja uwe mbunge au kiongozi. Afanye kazi kwanza tuone umahili wake kazini asitegemee mgongo wa jina.
 
- Facebook ni mambo ya picha na Social life ya members wa huko, ndio maana ukienda kwenye Wall ya Obama rais wa USA, utakuta anazungumzia jinsi mbwa wake alivyomzuri na mwenye akili sana, I mean mtu akija hapa uwanja wa siasa na kuanza mambo ya Social life za huko Facebook, then inaleta maswali kama kweli ana uwezo wa kuelewa toafuti ya Facebook na JF!

Willliam.
a
Willy simply hufai hata ubalozi wa nyumba kumi fanya kazi kwanza Tanzania uonekane, na watakao kuchagua watakuwa majuha walewale wa CCM kama walivyofanya kwa Sioi ubunge wa urithi.
 
malecela,william

acha tu aende anastahili kwa nafasi hiyo kupitia katiba yetu ya tanzania inatoa haki sawa kwa mtu yeyote yule,awe mtoto wa rais ama mkulima ana haki ya kuchagua ama kuchaguliwa
 
Acheni habari ya mtoto wa nani mbona mnawahukumu sababu ya last name? Cha muhimu anaweza kufanya aliyoyashindwa huyo last name sijui?
 
Hivi kabadili jina kwani?

Re: William MaleChela - Mbunge Mtarajiwa Afrika Mashariki

553922_3671989437567_1209820481_33691022_446369243_n.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom